Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,051
Umri umemtupa huyoKama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Umri umemtupa huyoKama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Mi nafanya comparison tuHata mtoa mada ni Team Putin
Vip J.W bushNamkubali sana huyo Mtu....ni jitu la kujiamini sana Mkuu.
Hata LA marekani akitakaUmuunganishe jeshi la wapi?
la mgambo aje pale UDSM GROUND WAPO PALE KURUTAUmuunganishe jeshi la wapi?
Ha ha ha umemaliza skuKuna jeshi la sungusungu hilo hata 50+ unajiunga
Bush ni katili for nothing.Amewapiga Iraqi bure akidhani wana silaha za sumu....pili yule mtu alitegemea sana sapoti ya mashori wenzie wa NATO....Putin anamjitegemea mwenyewe na akipiga dili hatoki mkono mtupu...uliona Cremia?Vip J.W bush
Mimi pia sana nduguNamkubali sana huyo Mtu....ni jitu la kujiamini sana Mkuu.
''To forgive a terrorist its up to God, but to send them to him its up to me''...hiyo kauli baada ya kuisema ilijadiliwa sana na western media,...kama siyo yeye pengine Assad angeshakuwa mfu.Mimi pia sana ndugu
Huyu ndo anaweza kujiita kiongozi
TupoTeam US kujeni
KigamboniTanzania iko wapi?
Si kweli mkuu kwa hizi data Marekani haina historia ya kushindwa hizo nchi unazozisema kazitandika kachukua anachotaka kaondoka!!!...Marekani alitia pua VIETNAM akaambulia kichapo atia pua tena kwa wavaa ndala AFGHANISTAN WATALEBAN wakamtoa jasho mpaka basi akaenda korea na kwenyewe akakutana na kizingiti yaani kila anakotia pua lazima ashindwe anabaki kuuwa watu tu wasiokuwa na silaha yaani huyu marekani hata TZ tukiomba nae mechi ya kirafiki ateremshe majeshi yake ardhini tunampiga kama kuku wa mdondo
Mpeleke mwanao akasoteMkuu kwa sasa nna miaka 30 na nishaoa...nadhani vigezo sina...ila kiukweli toka moyoni mwangu napenda kuwa mjeiwii sana...
pia Mi mtumishi wa umma....sidhan kama watanikubalia kubadili kada....
Russia military yake ipo juu mkuu,na NASa chombo cha anga ya juu ya USA wananunua engine za Soyuz kutoka kwa mrusi ,,USA kapigana na nchi gn nchi zote alizovamia military zao hazipo njemaTUMEONA SILAHA NA UWEZO WA MAREKANI KUPITIA VITA MBALIMBALI SASA URUSI ANAGOMBANA NA KAKISIWA KALE KAKICREMIA
UNARussia military yake ipo juu mkuu,na NASa chombo cha anga ya juu ya USA wananunua engine za Soyuz kutoka kwa mrusi ,,USA kapigana na nchi gn nchi zote alizovamia military zao hazipo njema
Tatizo lako uliogopa radhi ya wazazi wewe!! Yaan ndoto zako na uliko ni kulia kushotoKazi ya kwanza ninayoipenda ni kulitumikia taifa kama mwanajeshi au askar polisi toka nikiwa mtoto nikalinde aman kwenye nchi zenye vita lakini naona kama inaenda kugonga mwamba.....
Nyingine napenda mambo ya kuwa mwanadiplomosia sema nimesomea ICT Sijui nifanyeje kutimiza hizi ndoto zangu...!!
Ebu tumuulize nchi zip military yake haiko vizuri kat ya hizi Japan,Iraq,Afghastan,LibyaUNA
UHAKIKA NA USEMACHO?