Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
HAO WENGINE NI WADANDIAJI TUEbu tumuulize nchi zip military yake haiko vizuri kat ya hizi Japan,Iraq,Afghastan,Libya
HAO WENGINE NI WADANDIAJI TUEbu tumuulize nchi zip military yake haiko vizuri kat ya hizi Japan,Iraq,Afghastan,Libya
Marekani ndo leading in Economic issueSiku zote nguvu ya kijeshi inaendana na fweedhaaa wadau ,nafikiri mpaka jibu litakuwa tayari imelipa .
Wa jeshi la wokovu?Natamani ngekuwa mwanajeshi....
Mkuu hao jamaa ni balaa!!! wanangojea amri tu kutoka kwa putin, then wanasafisha kila kitu kilicho mbele yao!! nilikua naangalia mafunzo yao daaah hawa jamaa ni hatari, nadhani hata kule syria walipelekwa baadhi!!Team RUSSIA, Spetznaz
they are trained to ignore pain. Hata ukimtoa jicho atakufuata tu utadhani hakuna kilichotokea. wanafanya mazoezi hadi kwenye dimbwi la damu. hao sio kabisa sema media zote zimebase west hawana promoMkuu hao jamaa ni balaa!!! wanangojea amri tu kutoka kwa putin, then wanasafisha kila kitu kilicho mbele yao!! nilikua naangalia mafunzo yao daaah hawa jamaa ni hatari, nadhani hata kule syria walipelekwa baadhi!!
Ila wameachwa mbaaaali sana.Russia wanajitahid sana technological
World economy iko USA na Europethey are trained to ignore pain. Hata ukimtoa jicho atakufuata tu utadhani hakuna kilichotokea. wanafanya mazoezi hadi kwenye dimbwi la damu. hao sio kabisa sema media zote zimebase west hawana promo
Tukizungumzia vita, Japo NATO na US wanapiga zoezi huko karibu na RUSSIA Daily, siku wakisema wapigane madhara yatachukua miaka zaidi ya miambili dunia irudi kwenye mstari. Hilo hata US wanajua ndio maana vita huwa vinaishia kuwa baridi tuWorld economy iko USA na Europe
Pole best Kwa kukosa fursa hiyo kutumikiA jeshi. Mimi niliitema hiyo KAZI.Tangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Niunganishie Mimi mkuu!!! Akili ninazo na nguvu ninazo.Kama uko tayari nitafute nikuunganishie uende
Unajua kulinganisha mambo?Hayo ma vifaa ukilinganisha na yale aliyotishiwa Joyce Banda utasema yale yetu ni ma midoli tu!
Hii ndio kazi yenye heshima... I love my occupation to serve in my countryTangu zamani ilikuwa ni ndoto yangu kuwa mjeiwii ama efu efu yuuu....napendaga ubabe sana...Ni family background ndo zilifanya nisitimize ndoto yangu na kuishia kuwa mwalim...so sad in deed!!!!
Sizan kama wamahitaji promo mkuu!! Wao ni borathey are trained to ignore pain. Hata ukimtoa jicho atakufuata tu utadhani hakuna kilichotokea. wanafanya mazoezi hadi kwenye dimbwi la damu. hao sio kabisa sema media zote zimebase west hawana promo
HahahahahahahahahahaHayo ma vifaa ukilinganisha na yale aliyotishiwa Joyce Banda utasema yale yetu ni ma midoli tu!
Kwani Crimea iko US?Russia wameichukia Crimea na kila siku wana piga zoezi huko
US wanatoa macho tuu
IPO karibu na russiaKwani Crimea iko US?