jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
- Thread starter
- #101
Hiyo kauli yako ya mwisho imeleta utata!! Et nguvu ya RUSSIA ni sawa...Mleta uzi samahani sana,huo ni udhalilishaji sasa...iweje namba 1 umweke dada ,alaf dume unaliweka namba 2? Unavyofanya sivyo.....nguvu ya Russia ni sawasawa na nchi zote za ulaya na marekani kwa ujumla...