Sijui Gates ana natatizo gani? Kitu gani kina mzeesha zeesha haraka huku akiwa ni binadamu mwenye fedha lukuki - MTU aliye zaliwa katikati ya miaka ya hamsini anaonekana yuko Mzee kuliko Trump na Biden. Mtu mwingine anaye zeeka zeeka haraka ni Baraka Obama.gate naye kachapa chumvi!!!dah