Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Sasa nae twamwitaje? Mnene au bonge?
muulize husninyo huwa wanamuitaje mtaani kwao.maana wamefanana kweli na konny
Sasa nae twamwitaje? Mnene au bonge?
Yan huwa nakumiss sanaaaana usiposikia kelele zangu,huwa unaumwa eeh?
Hiyo miguu ya konnie sina mbavu mie, na hapo ODM anapomfanyisha mazoezi mie ndo ngachoka!..muulize husninyo huwa wanamuitaje mtaani kwao.maana wamefanana kweli na konny
Wewe ukimmiss na uporoto afanyeje?Yan huwa nakumiss sanaaaa
Mzima?
Unamwona Cantalisia alivyo mahiri wa kudandia daladala? Mi sijasema kama ye ni n'kazi wa Mbagaya.....
![]()
Hakuna mapya g'...
Nitty yuko safarini kikazi..
Yan huwa nakumiss sanaaaa
Mzima?
Safari hiyo wapi Gombe?
Hata kuingia JF usiku anashindwa? Kabakabana anaingia JF hadi alipokuwa "Rock city",na Jiji la Mbeya,n.k.
Hiyo miguu ya konnie sina mbavu mie, na hapo ODM anapomfanyisha mazoezi mie ndo ngachoka!..
Wewe ukimmiss na uporoto afanyeje?
yeye huwa ana safari za dharula
Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
![]()
Kwa hiyo zako zinapangiliwa..
Zake ni ghafla kiasi kwamba udharura hauishi hadi arudi? Aah .. C'mon Kabakabana..
umeliöna hilo panga hapo?hahahahaha! Babu babu babuuuuuuuu!!
Miss you Madame Kabyumeliöna hilo panga hapo?
heheeh half fellow tablet naona umekaa usawa wa panga ili camera isikunyake. na kapello yako ya kampeni za chademaKweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
![]()