Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Aisee.... angalieni.... Ohoooo!Twende chemba tukapange vizuri...
Hapa kwenye ubao wanga wengi!!:gossip:
Aisee.... angalieni.... Ohoooo!Twende chemba tukapange vizuri...
Hapa kwenye ubao wanga wengi!!:gossip:
Khaaa.......! Utamuua mwenzio asubuhi asubuhi...ohooooo!Nishamwambia swty,
Hata ile picha aloweka nimeshamwambia ni ya pacha wangu sio yangu,
Come this way darling nikupe cha asubuhi lol!
Hahaha hahha,nimefanyaje swaiba!
Huyo ni pacha wangu bana ww zoom utagundua sio mm bana!
habari ndo kama hiyo hehe hiyo kamon umeisema kizungu zaidi.
Poa Gee Cee,
Mzima wewe?
Ha ha ha ha, nahama hicho kijiwe.
Nahisi utanivamia wikiendi moja afu unifahamu bure.
Yaani huwa na kihere here kama kunguni, sijifichi utanijua tu huyu ni Konnie,
Kama hapa umestuka, ukienda siasa utakimbia maliwatoni bila taulo.
Pole lakini, ndo ya duniani yalivyo.
Dunia shujaa walimwengu hadaa!
happy birthday dada kongosho. Mungu akujalie upate mume bora kama mimi
Khaa!ataniweza?
Nina wamme 2, wake 2 na vibuzi 2.
Kama anataka gonjwa la moyo la hiari.
Khaa!
Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti Msataafu wa CCM, John Samwel Malecela maarufu kama 'Tingatinga',ametafsiriwa na wachambuzi wa mambo kama mtu asiyemuunga mkono mgombea wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki,Siyoi Sumari.
Malecela amejiweka mbali na kampeni zinazoendelea za chama chake.Malecela alipofuatwa ili aongozane na 'Uncle Benny' aka 'Mjuzi wa ukoo' aliruka kimanga kuelekea huko akionyesha dhahiri kutoridhishwa kwake na mchakato mzima wa kumpata Siyoi. Malecela amesoma alama za nyota?