Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

happybiirthday 2u..ya uongo ivoivo
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.

Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.

Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.

Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.

Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.

Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol

Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
 
kutoka 2011 hadi 2013 ni mwaka mmoja?
 
We konnie umenikera mpaka basi,imekuwaje hii thread hukunitag,wala kupiem,wala kuniesems,wala kuni ipad,wala kunisamsung galaxy,wala kuni skype,wala kuni whatsdown......yaani.....ngoja nikupangie faini.
 
Happy birthday Kongosho! Long live with your z..........
 
Last edited by a moderator:
Ujue nina hasira na wewe??

Ya nini kunitanguliza Melvedes afu usije?? ile samsang galaxy nimeiogesha

We konnie umenikera mpaka basi,imekuwaje hii thread hukunitag,wala kupiem,wala kuniesems,wala kuni ipad,wala kunisamsung galaxy,wala kuni skype,wala kuni whatsdown......yaani.....ngoja nikupangie faini.
 
happy BD dear. Kumbe na wewe ni wa juzi tu?
 
Back
Top Bottom