Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Khaaa, haiwezekani mie nshapasi gauni langu la kitenge na zile raba nyekundu nimefua toka jana... Sikubali.
Hahahaaaaa inabidi tutafute mwingine anayetimiza mwaka leo....Kongosho anataka tuifanye jumamosi
 
Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
ni wapi hapo nitie maguu pilau tena:violin:
 
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.

Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.

Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.

Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.

Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.

Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol

Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
Afu we demu wangu mbona hukunikumbusha wiki mbili zilizopita kuwa nami nlikuwa na pesdei ya miaka minne hapa kwa Mubyazi Maxence Melo?

Leo sitakuingizia kinaniliu changu wallahi tena?:crazy:
 
Hapa bado tunaandaa sherehe, tuko kwenye stage ya upishi.
Unajua kutengeneza chakula chochote, ila sio maji ya kunywa.

Hapo Blue, am humbled...

Hepi besdei tu yuuu...!!
Kata boga tuleee....!!

Heee.........alafu hapo blue, SOURCE????
 
Hivi huyu Kongosho kapotelea wapi tena? Mwambie namtafuta eti:

article-2117319-123DB1CE000005DC-246_634x412.jpg
K
 
Hahahaaaaa inabidi tutafute mwingine anayetimiza mwaka leo....Kongosho anataka tuifanye jumamosi
Nisaidie kumtamfuta huyo mwingine tafadhali, gauni langu jipya ati.. Jumamosi mbali sana b52.
 
Mwambieni Kongosho aje nimtoe out eti jamani jamani jamani...

article-2117319-123DB246000005DC-265_306x423.jpg


Nataka nimlishe na keki nlomwandalia eti

article-2117319-123DB1B5000005DC-74_634x452.jpg


Afu nimpigishe tizi Kongosho wangu jamani jamani jamani,

article-2117319-123DB1BE000005DC-149_634x497.jpg


Wenye wivu wajinyonge jamani jamani jamani

article-2117319-123DB1C6000005DC-620_634x512.jpg
 
@ Asprin huyo ndo kongosho?...lol, mpaka nimeogopa.

Ni binadamu huyo? Daaah mbavu zangu jamani lol.
 
Back
Top Bottom