Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.
Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.
Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.
Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.
Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.
Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol
Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.