Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

heheeh half fellow tablet naona umekaa usawa wa panga ili camera isikunyake. na kapello yako ya kampeni za chadema
Hehehe.......... hiyo kofia hawa wazembe wakiiona wanachanganyikiwa...
Source: Arumeru East.

c29.jpg
 
Unamwona Cantalisia alivyo mahiri wa kudandia daladala? Mi sijasema kama ye ni n'kazi wa Mbagaya.....
393869_2972326715884_1493263980_2987451_292019578_n.jpg

Whaaaaaaaaaaaaaaaaat?
Aisee babu umenifananisha,
Khaaaa!huo msamba?nahuyo konda anasikilizia nn hapo lol!

Mie bana siku hizi sihangaiki tena na usafiri mme wangu rejao keshaninunulia vits open ruf naenjoy kwa raha zangu babu!
 
Hehehe... Vitz yenyewe kimeo, spana mkononi. Afu mtindo wako wa kuvaa kataK bado hujauacha? Ushakuwa mkubwa sasa...
sagg.jpg

lol...bora hawa boxer zao safi! kuna vijana huwa wananiacha hoi sana! unakuta kavaa hiyo sijui ndio kata K halafu boksa yenyewe chafuuuu,
 
Back
Top Bottom