sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Hahaha, kweli damu nzito kuliko maji manake wanafanana mpaka huko kutabasamu lol.Hehehehe... mi sijui bana, labda umuulize dada yake......
![]()
Hahaha, kweli damu nzito kuliko maji manake wanafanana mpaka huko kutabasamu lol.Hehehehe... mi sijui bana, labda umuulize dada yake......
![]()
hongera Mwaya..Kinywaji tunapatia wapi kongosho ?
Siku nikila ban(sidhani kama itatokea),nikirudi kifungoni tu,naandaa pati la nguvu la waliowahi kulambwa ban,na watatambulishwa wale waliowahi kula ban mara nyingi kuliko wenzao,na idadi ya ban...
Hebu nipe siri hiyo
RR unampelekea ma Lace wig kwa wingi?
Invisible machupa ya Capt Morgan ,
:scared:
Zambarawe, zambarau? . . .zambaaaa. . .kutakua na le kwaito i ngoma ya i kaya. . .au matarumbeta basi mi ntakuja nayo.
Tengenezeni vyote Konnie.. Mi niaminieni kwenye "Saladi"...
Ila ntatengenezea home,kisha nitaleta humu ndani..
Sherehe imeahirishwa...
Hepi besdei tu yuuu...!!
Kata boga tuleee....!!
Heee.........alafu hapo blue, TOMATO SOURCE
Dah, mimi na wewe ni mwili mmoja, sherehe yako sherehe yangu and vice verse is true 🙂Afu we demu wangu mbona hukunikumbusha wiki mbili zilizopita kuwa nami nlikuwa na pesdei ya miaka minne hapa kwa Mubyazi Maxence Melo?
Leo sitakuingizia kinaniliu changu wallahi tena?:crazy:
Turubai la zambarau, waji wewe utakuwa MC msaidizimie nipo njiani nakuja, umefunga turubai la rangi gani?
Ukiwa unatokea ukonga, mkono wa kushoto kabla ya Ubalozi wa CanadaKaribuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
ni wapi hapo nitie maguu pilau tena:violin:
Hongera....
Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.Hahaha, kweli damu nzito kuliko maji manake wanafanana mpaka huko kutabasamu lol.
Hivi huyu Kongosho kapotelea wapi tena? Mwambie namtafuta eti:
Leo nikirudi, naivunja hiyo kameraMwambieni Kongosho aje nimtoe out eti jamani jamani jamani...
Nataka nimlishe na keki nlomwandalia eti
Afu nimpigishe tizi Kongosho wangu jamani jamani jamani,
Wenye wivu wajinyonge jamani jamani jamani
@ Asprin huyo ndo kongosho?...lol, mpaka nimeogopa.
Ni binadamu huyo? Daaah mbavu zangu jamani lol.
Mbona watu tumekaa hata juice hakuna?
Hivi kiongozi wa maandalizi ni nani?
Mi nataka kujitolea kwa kuwa nina uzowefu wa kufanya maandalizi mazuri na sherehe kufana sana.....
Give me chance faster............
Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
Duh! Huu mlima ni wa kuingia kwenye kumbukumbu za "World Guiness Book"Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
![]()
mimi nitalala na wewe leowewe unafaa ugawe togwa na mbege
maana una uzoefu wa kitunza isichache
huyu fide atatufaa kukaa mlangoni, kuhakiki wanaoingia ni waalikwa tu.
utalala na yule jogoo wako?tena yule jogoo mkubwa mwenye kucha
Hahahaha! Mbona kama klorokwini hana furaha? Au alilazimishwa kula?..isijekuwa husninyo kamnyima kula jamani!Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
![]()
Hahahaaaa huwa haichachi kwa kuwa huwa naimaliza faster....Wewe unafaa ugawe togwa na mbege
Maana una uzoefu wa kitunza isichache
Huyu Fide atatufaa kukaa mlangoni, kuhakiki wanaoingia ni waalikwa tu.
Kabakabana
@ Asprin huyo ndo kongosho?...lol, mpaka nimeogopa.
Ni binadamu huyo? Daaah mbavu zangu jamani lol.
Inamaana ulikuwa humjui Kongosho asali ya ODM? Haya mwone na Modereta wetu RussianRoullete.
![]()
Kweli kabisa. Afu mwambieni Kongosho katika huu mnuso wake asisahau kuwa klorokwini na husninyo watakuwepo na mlo wao ndo kama unavyoona hapo wakiwa kwenye ubatizo wa mtoto wa saba wa Kabakabana. Anayecheka kwa mbali pale ndo Fidel80.
![]()
Sasa nae twamwitaje? Mnene au bonge?hehe ndio bi'konny huyo