Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 480
- 944
Huyu anajifurahisha sana.Sawa, endelea kujifurahisha
Aifananishe Mbeya na tabora huko.
Ila kuifananisha na dar ni kujitoa akili.
Mwambie aendelee kuish mabatini
Huyu anajifurahisha sana.Sawa, endelea kujifurahisha
ZaNimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!
Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.
Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.
Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?
Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.
Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?
Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
Tanga je??😂 Dah kudadeki
Ila kwa hapa bongo, ni Dar tuu ndo utasema ni jiji ila mikoa yote inayobaki inatofautiana padogo mno, Mbeya ndo kabisa haipaswi kuwa hata mkoa.
Wenzio leo wanajengewa barabara 4 ways wanaona kama ni kitu cha ajabu sana.Mbeya mjini ni shamba lililo na purukushani za wanadamu ndani yake
Hakuna kitu hukoTanga je??
Juzi tu hapa 2005-2010 utawala wa Kikwete, eti Mbeya wakazindua ghorofa la kwanza lenye lifti walifanya sherehe mkoa mzima. Mbeya bado sanaWenzio leo wanajengewa barabara 4 ways wanaona kama ni kitu cha ajabu sana.
Traffic lights ziko mafiati tu pale.
City centre ni huku, UhindiniJiji halieleweki ata city centre yake ni ipi
Kwa geographia ya ule mji ilivo city centre palifaa sana kuwe kule maeneo ya soweto mpaka mafiati.. Ila sio kwa zile slums. Anyway moja ya faida ya mji wenu hali ya hewa hairuhusu sana mgeni kulala peke yako chumbani. HahahahaCity centre ni huku, Uhindini
Japo ni kaeneo kadogo tuView attachment 3492618View attachment 3492619View attachment 3492620View attachment 3492621View attachment 3492622View attachment 3492623View attachment 3492624
Mimi natamani wangewahamisha watu kwenye zile slums za Mwanjelwa na Mafiati, serikali iwajengee nyumba bora sehemu nyingine hata bure tu ikiwezekana.Kwa geographia ya ule mji ilivo city centre palifaa sana kuwe kule maeneo ya soweto mpaka mafiati.. Ila sio kwa zile slums. Anyway moja ya faida ya mji wenu hali ya hewa hairuhusu sana mgeni kulala peke yako chumbani. Hahahaha
Hizo chemba zilopasuka kila mtaa na kumwaga mavi je.? halafu unaongelea Ilemi daraja lipi mkuu?Nimekaa dar nimekaa Mbeya, kama dar kila mtaa kunanuka basi Mbeya itakuwa Mara 10 yake.
Ukipita ilemi Darajani pale msimu wa kiangaz maji yakiwa machache unapata picha na ile harufu ya maji wa ule mto, ile harufu ya kufungulia kinyes huwez ikuta DSM sheikh
Ndiyo uwezo wake wa hela ya kupanga. Kwani Nyumba za matofari ya blocks Forest hakuziona?Mwaka fulani nilimtembelea ndugu yangu aliyekua akisoma chuo cha Must hapo na nilimkuta akiishi katika chumba cha tope Iyunga hapo nilichoka sana.
😂😂😂Niache bhana"MATUMBO YAO YAMEJAA WANGA HATARII, SWALA LA BALANCE DIET KWAO NI NDOTO". Asee nimecheka sana mleta mada asee mbavu zang maamaee.
Maxence Melo asante kwa JF!
To yeye
Ikakusaidia nini sasa?Nimetembeza pumb.u sana kwa mademu wa hapo mitaa ya magorofani.
Bila Mbeya watakufa njaa tuAcha ndoto za mchana, watu wenye pesa hawawezi kufa njaa.
Jiji lipo ndani ya mkoa.Mkoa wa Mbeya ndio unalisha mikoa mingi Tanzania. Na sio jiji la Mbeya
Wote wanaoiponda Mbeya nimewataka wanitajie miji na majiji wanakotoka ili nao tuwajadili, hakuna aliyetaja.Jiji lipo ndani ya mkoa.
Lakini mkoa haupo ndani ya jijiJiji lipo ndani ya mkoa.