Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,735
- 105,417
Ni ujinga kufikiri hivyo, Waarabu wala hawalimi na hawafi njaa.Bila Mbeya watakufa njaa tu
Ni ujinga kufikiri hivyo, Waarabu wala hawalimi na hawafi njaa.Bila Mbeya watakufa njaa tu
Huna ufananialo na waarabu, usijifananishe nao.Ni ujinga kufikiri hivyo, Waarabu wala hawalimi na hawafi njaa.
Unapajua uyole??Lakini mkoa haupo ndani ya jiji
Watu wanaponda jiji la Mbeya specifically, sio mkoa mzima wa Mbeya
Allahu AkbarHuna ufananialo na waarabu, usijifananishe nao.
Hivi Tanzania hii chakula chote kinatoka Mbeya?Unapajua uyole??
Pana mashamba makubwa pale na nie eneo la town.
Pale tu panalisha jimbo zima la ilala.
Hao wanaoponda jiji la Mbeya, hamna hata mmoja anayetaja jiji lake au mji wake anaotokea.Lakini mkoa haupo ndani ya jiji
Watu wanaponda jiji la Mbeya specifically, sio mkoa mzima wa Mbeya
Kumbe hukua unajua hilo??Hivi Tanzania hii chakula chote kinatoka Mbeya?
Ndio mnavyojidanganya sio?Kumbe hukua unajua hilo??
Jibu ni ndio
Unajidanganya kijana, Mbeya ndio inakulisha hapo ulipo.Ndio mnavyojidanganya sio?
Kilimo ni everywhere ndugu. Tofauti ya Mbeya na mikoa mingine ni mwamba Mbeya inazalisha chakula kingi zaidi, sio kwamba ndio inalisha Tanzania nzima. Mbeya haina chakula cha kulisha watu milioni 65+
Na Tanzania sio nchi kame kwamba tuwe na region moja tu inayozalisha chakula. Kilimo ni everywhere
Yeah nakula chakula cha Mbeya mostly kwa sababu nipo Mbeya, siwezi sema Mbeya inanilisha, actually mimi nanunua kwa kutumia helaUnajidanganya kijana, Mbeya ndio inakulisha hapo ulipo.
Mbeya inalisha nchi, na nchi jilani ya Malawi iliyokumbwa na baa la njaaYeah nakula chakula cha Mbeya mostly kwa sababu nipo Mbeya, siwezi sema Mbeya inanilisha, actually mimi nanunua kwa kutumia hela
Lakini chakula kinalimwa Ruvuma, Njombe, Rukwa, Katavi, Iringa, Morogoro nk so, Mbeya hailishi nchi. Huku ni kujisifu tu ili kushinda arguments
Huna hoja Wala mantiki ya mada Yako.Nimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!
Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.
Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.
Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?
Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.
Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?
Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
Watu ni waongo humu. Airport ya songwe ni mamaako?Mbeya ndilo Jiji pekee Duniani lisilokuwa na Airport. Mbeya ni Kijiji kilichoumuka.
Wewe labda ni mbumbumbu usiejua chochote kuhusu Mbeya.Mbeya ndilo Jiji pekee Duniani lisilokuwa na Airport. Mbeya ni Kijiji kilichoumuka.
Sio waongo ni wajinga wasioelewa Mbeya na wanaohadithiwaWatu ni waongo humu. Airport ya songwe ni mamaako?
Kabisa I see. Mtu anashusha porojo mwanzo mwisho upuzi mtupu. Hebu ona kama huyo mtoa mada. Eti anaenda kwa mama Ntilie anategemea apate chakula tofauti na ugali nyama na wali nyama?. Na hiyo ni kwa kwa mikoa yote Tanzania. Unaenda kwa mama Ntilie utegemee vyakula mchanganyiko?. Aenda kwenye hadhi zingine aone kama atakosa vyakula aina nyingine.Sio waongo ni wajinga wasioelewa Mbeya na wanaohadithiwa
Mimi naonaga Dar ndio ya ajMkoa wowote ukienda kama umetokea Dar, utapaona pa ajabu sana ila ukishapazoea. Tabu za Dar, zitakufanya usipakumbuke.
Kuna mwingine aliisema vibaya sana mwanza wiki ya kwanza kufika ila kwa sasa miaka inakatika yupo huko na hata mpango wa kuhama hana.