Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Fafanua ni mkoa gani huko kwenu ukienda kwa mama Ntilie unapata vyakula mchanganyiko?. Niambie ni mkoa gani huko kwenu ukienda kununua nyanya ,matunda kwa akina mama wanaotandika chini ukapata huduma classic?. Mwingine anadandia tren mbele eti mbeya hakuna uwanja wa ndege? Si ujinga tu huo. Watu mnatafuta sifa za huruma. Unaenda kwa mama Ntilie unakuja kutoa utumbo hapa. Kiwango chako ndio kimekupeleka kwenye hadhi hiyo ya ugali na wali pekee. Kiwango chako ndio kimekupeleka kwenye matunda na kifungashio kilichochakaa
 
Mbeya ndilo Jiji pekee Duniani lisilokuwa na Airport. Mbeya ni Kijiji kilichoumuka.
Wewe hadhi yako ni mabasi tu huwezi kujua airport ilipo mbeya kama hadhi yako ni kudandia maloli. Uliza wanaopanda ndege mbeya wanapandia wapi?. Utajulishwa. Na kwa taarifa yako Mbeya ndio ina root nyingi za ndege kwa siku kutoka dar to mbeya. Inaweza ikawa sawa na Kwanza ama ikafuatia kwa mwanza. Sasa sijui unafikiri kwa root hizo zinatua wapi?
 
Mimi naonaga Dar ndio ya aj
U,just imagine watu wanashindia utumbo na Mji unanuka Kila mahala.

Kariakoo kumejaa uchafu Kila sehemu Sasa sijajua huo u speaho wa Dar inayoongoza Kwa mabanda ni upi.
Dar es Salaam
Screenshot_20260325-123905.png
Screenshot_20260325-123954.png
Screenshot_20260325-124023.png
Screenshot_20260325-124049.png
Screenshot_20260325-124121.png
Screenshot_20260325-124142.png
Screenshot_20260325-124206.png
Screenshot_20260325-124231.png
Screenshot_20260325-124246.png
Screenshot_20260325-124304.png
Screenshot_20260325-124325.png
Screenshot_20260325-124354.png
 
Hapo umechagua maeneo. Ambayo hata Dar maeneo ya hivyo huyakosi. Pia nikusaidie tu mfano ukitokea labda Dubai ndio unadondoka Dar. Dar inaonekana tu kama sehemu ya kakijiji fulani huko mbele. Achilia mbali Dubai hata utokee tu Nairobi hapo unaiona kabisa Dar ni vituko mtoto sana kwenye majengo mpaka barabara. Maana yangu kadiri unavyotoka chini kwenda juu kunafautiana kidogo kidogo,kuanzia majengo mpaka mandhali zingine.

Vituko vya mnaoishi Dar ukiambiwa tu picha unatafuta tu maghorofa ya posta. Maana yake sehemu nyingine hawaishi watu ni posta tu.
 
Ungejua Nairobi ilivyo na slums nyingi hata usingeandika ulichokiandika
 
Hapo umechagua maeneo. Ambayo hata Dar maeneo ya hivyo huyakosi. Pia nikusaidie tu mfano ukitokea labda Dubai ndio unadondoka Dar. Dar inaonekana tu kama sehemu ya kakijiji fulani huko mbele. Achilia mbali Dubai hata utokee tu Nairobi hapo unaiona kabisa Dar ni vituko mtoto sana kwenye majengo mpaka barabara. Maana yangu kadiri unavyotoka chini kwenda juu kunafautiana kidogo kidogo,kuanzia majengo mpaka mandhali zingine.

Vituko vya mnaoishi Dar ukiambiwa tu picha unatafuta tu maghorofa ya posta. Maana yake sehemu nyingine hawaishi watu ni posta tu.
Maeneo ya hovyo Kwa Dar ni mengi kuliko Mkoa wowote
 
Hizi nyumba ulizo post na kusema ni mbaya Kwa Mbeya,maskini wa Dar hawana.

Pili ni ujinga kusema watu wengi wa Mbeya wanaishi Dar ,unaongea Kwa kuropoka waati hata takwimu xinakataa.

Hakuna mtu anatoka Mkoani Kwa Sasa eti anahamia Dar,hiyo ni zilipendwa fursa ziko Mkoani kama unavyoona hapa 👇 👇

View: https://x.com/i/status/2036727795225899394
 
Hahhaa hotel zao nyingi za kulala chafu hapafu wahudumu wanakushangaa wewe unaeshangaa.
Kuna hotel ile ya Sokoni mwanjelwa ile gorofa na za pembeni mwake. Kidoogo GR Hotel.
Mbeya kila mwanamke baunsa 😀
😁🤣🤣
 
Huu ni uongo labda unazolalaga wewe kulingana na kipato chako ila hotel na guest nyingi za Mbeya ni nzuri.

Kuhusu madem, hapa unaniandikoa kufurahisha genge bro ila kiukweli Mbeya kuna pisi kali sana bro.

Tujitahidi kuwa wakweli kwenye baadhi ya issue bro sio kukandia tu.
Kaka unatokea mbeya nini !? 🤣
 
Kwamba vigezo vya TAMISEMI ni vigezo vya kimataifa! Tuseme ukweli, tunavumiliana tu na hizo standards za TAMISEMI...Mbeya ain't shit. Ni mvurugano TU. Sehemu chache sana Zina Hadhi. Kote walikoachiwa wananchi wafanye wenyewe ni patashika.
Daahh 🤣
 
Reinforced....

🤣🤣🤣 Yaani hakuna hata mmoja anaye iongelea mbeya vizuri mtoa mada ana hoja asikilizwe
 
Tanzania Jiji ni Dar, Mwanza kidogo na Arusha. Kwingine huko ni status ya jiji lln uhalisia ni Vijiji tu.

Umenjchekesha kitu, kwamba mtu anaweka taa za kusense usiku, Sijui wana opt kuserve umeme au nn
😁😁😁
 
Back
Top Bottom