Hemedi PHD ajivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa Tanzania 32 tena bila....

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz.
anasema yeye anajiita PHD sababu ya kulala na hao mabinti mastaa 32 wa tanzania.

maoni yangu: kumbe wakati watu wengine tukijisifu mafanikio ya kuishi maisha bora,kumbe kuna watu wanajisifu kwa kulala na mabinti wengi,mi kwa upande wangu naona huo siyo ujanja,mwanaume asifiwi idadi ya wanawake aliolala nao,bali anasifiwa kwa kazi na mafanikio aliyopata
 
Duh!bongo kazi 2nayo,so hayo ndo mafanikio yake hayo?
 
asitudanganye kabisa habari zake tunazijua. panda farasi taratiibu mpka morogoro. chezea unavyopanda farasi unajisikiaje??
 
natakojua wewe...

Unataka Kunkojolea?

Natakojua wewe

Unataka kunkojolea we vipi?

I want to know you...

Aaahaaaa unataka kunijuwa eeh...
Mimi naitwa Mafamba Hassan Baharan
 
Watu wanapoteza pesa kupata warembo!mnyama anamega bure na wengine kumuhonga!haya ni mafanikio kwani fungu la kuhonga linakuwa saved kwa mambo ya maendeleo!big up jonny bravo PHd mnyama!
 
Hivi "Mama Kimbo" ndio imeshabuma??

I wish ingekuwa ya Mabeste yote coz kaitendea haki midundo ya Mafia.
 
Na hao dadas wanao tembea na mshamba kama yule ,,wanafata nn? Yule mshamba,mjinga,limbukeni,hajawash ,hajatembea,,
 
Miongoni mwa sababu wanazofanya wenzio watembee na PHD!...kibongobongo dogo star,anatupia,anajua kujifanya kakolea kwa demu,sauti silaha,mcheshi,ana mguu wa mtoto,n.k
 
acha ungese wewe,eti 'ana mguu wa mtoto',umejuaje?
 
Demu wangu aliniambia!...kinje kuwa na kibamia watu walijuaje?mzee bongo ukigonga magubegube jua unawekwa hadharani sasa kama unajifanya unapenda halafu kibamia lazima uchoreshwe!
 
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz.
anasema yeye anajiita PHD sababu ya kulala na hao mabinti mastaa 32 wa tanzania.

maoni yangu: kumbe wakati watu wengine tukijisifu mafanikio ya kuishi maisha bora,kumbe kuna watu wanajisifu kwa kulala na mabinti wengi,mi kwa upande wangu naona huo siyo ujanja,mwanaume asifiwi idadi ya wanawake aliolala nao,bali anasifiwa kwa kazi na mafanikio aliyopata

xo jamaa akizimika gafla...kuna tupu za kike kama zaidi ya 32 hvi ztamtapakaa kwa body.....kama tatoo za michael scofied ........teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom