Hemed suleiman P.H.D amfunika T.I.D

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
Yule mkali wa siku nyingi toka kinondoni TID hatimaye apata mpinzani wa kweli katika uimbaji,pamba na nyota kung'aa kwa watoto wazuri toka kwa P.H.D nae toka kinondoni ambaye jana Billz alionyesha umwamba wake mpaka TID akapanic kuendelea na show....big up P.H.D!!!!
 
wewe nawe na hemed.........something hiden
 
T.I.D wa zamani au huyu mpya....

Huyu mteja!!!hahhaha!yule wa kitambo alikuwa noma!nakumbuka mwanaFA nilikutana nae katika pamba anamuambia muuzaji amtaftie pamba afanane na TID!...yule TID alikuwa untouchable!P.H.D ndo anaibeba kino kwa sasa kiukweli sijaona mpinzani wake bongo nzima kwa wasanii anayepiga vidudu mtoni na vikamtoa kama HEMEDY!!!
 
Ila Tid sijui nini kimempata aisee....alikuwa vyema basi tu!
 
Unga noma wangu!!TID alikuwa mkali kuanzia primary pale mpaka shaaban robert!saa zile weekend pale slipway ndo ulikuwa utamtaka ubaya!swagga za hatari mpaka waliorudi toka unyamwezini chupi zilikuwa zinawabana!!!!!P.H.D ni fan mkubwa wa TID na mikato mingi ya P.H.D mwalimu TID!!!
 
nilimsikia t.i.d anasema hemedi hamuwezi kwa mademu coz yeye t.i.d ndio anaongoza kuwala mademu wa kizungu kuliko msanii yeyote wa bongo
pia kawala mademu high class wa bongo na nje...

Anon @ work safi sana Hemed kwa promo,sifa za kijinga kula mademu wa kizungu ndio ujanja? Kupiga pamba ndio ujanja? Nenda kariakoo pale uone wafanyabiashara wanatembelea ndala na yeboyebo lakn ana ghorofa 7 na anawala watoto wa kiarabu na kiindi.
 
Zitakuwa hela za majini!una hela unatembelea yebo yebo ili iweje?na hao madem wakali wananaowala watakuwa wanaliwa kufuata pesa tu!wakali wa donta wanawala hao madem wakali kwa ufagio wao tu!
 
Muuza sura unapenda umarioooo ndio maana kutwa scrub,wave viskin jeans mapoodaaa usoni,unyunyuuu,supra hili mradi umteke mtoto haaaaa,wao hawawezi mambo hayo mda mwingi wapo busy kusaka mahela akipumzika anatafuta mtoto wa kiarabu amliwaze!
 
Una utani na handsome boy short chasis bob junior!!!!hahahha!
 
muuza sura je hemed anamfikia diamond mwenye utajiri wa bilioni za kitanzania ?
 
platinumz hana billions ila hela anayokamata kama yeye inamtosheleza na vitu anavyopenda na anavyomiliki vinaonekana kama gari na duka!P.H.D anakamata pakee katika industry ya bongo movie ila mali anazopenda kumiliki ni wanawake wazuri na kuvaa tu!si chizi magari!ila account yake kwa umri wake na jinsi deals zinavyozidi kumuendea swadakta basi muda utaongea!!!!
 
Labda Kwa Utozi lakini kimusiki Hemed hajawahi na hatoweza kumfikia Tid.

nami nilikuwa nawachora tuu,
labda io show moja hapo bills jana, but top in dar ni nouma long time!
na kumpambanisha na hemedi ni kumdharirisha alaah!
 
hujui unachoongea!!!TID zamani si huyu ambaye komwe limemzidi na macho yamemtoka kama kapigwa ngumi za machoni na anayejisahau hata akipiga pamba jasho linaacha ramani makwapani!!!!!TID nilikuwa namkubali sana ila kwa matumizi ya nyeupe huwezi kumuweka ligi moja na PHD!!!!HEMEDY hata avae gunia atapendeza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom