Hemed suleiman P.H.D amfunika T.I.D

hivi hemed huwa anaimba nini zaidi ya kubana pua?
Fani za watu zimevamiwa mweeh
 
Yule mkali wa siku nyingi toka kinondoni TID hatimaye apata mpinzani wa kweli katika uimbaji,pamba na nyota kung'aa kwa watoto wazuri toka kwa P.H.D nae toka kinondoni ambaye jana Billz alionyesha umwamba wake mpaka TID akapanic kuendelea na show....big up P.H.D!!!!

ni hemedi huyu wa bongowood au..
 

Attachments

  • hemedy.jpg
    hemedy.jpg
    13.2 KB · Views: 351
huwa namwonamwona pale kino nyuma ya mwanamboka jirani wanauza ktmoto kuna wadada wa kitanga wanakaa mule sijui analelewa mule ama ni dada zake sielewi
 
huwa namwonamwona pale kino nyuma ya mwanamboka jirani wanauza ktmoto kuna wadada wa kitanga wanakaa mule sijui analelewa mule ama ni dada zake sielewi

home kwao!!!!pale kwa mama geof wanapouza kitimoto pembeni!
 
Ivi Hemed kumbe bado yupo??
duh!wasanii wa kibongo sijawaona siku mingi sana mauzo yao,inabidi jpili hii nizame bills,sasa sijui kale kautaratibu kao kakujazana pale j2 bado kapo..sema pale sometime kunakuwa changanyikeni kama ambiance hadi kunaboa.
 
platinumz hana billions ila hela anayokamata kama yeye inamtosheleza na vitu anavyopenda na anavyomiliki vinaonekana kama gari na duka!P.H.D anakamata pakee katika industry ya bongo movie ila mali anazopenda kumiliki ni wanawake wazuri na kuvaa tu!si chizi magari!ila account yake kwa umri wake na jinsi deals zinavyozidi kumuendea swadakta basi muda utaongea!!!!

ama kweli dunia iko mwishoni
 
hujui unachoongea!!!TID zamani si huyu ambaye komwe limemzidi na macho yamemtoka kama kapigwa ngumi za machoni na anayejisahau hata akipiga pamba jasho linaacha ramani makwapani!!!!!TID nilikuwa namkubali sana ila kwa matumizi ya nyeupe huwezi kumuweka ligi moja na PHD!!!!HEMEDY hata avae gunia atapendeza!

hehehe! sizungumzii kupendeza, samahan sana! nazungumzia kazi zao za kimuziki sawa MUUZA SURA??
hedem yah ata akivaa bikini atapendeza ni mrembo kwa kweli, hongera zake.
 
hehehe! sizungumzii kupendeza, samahan sana! nazungumzia kazi zao za kimuziki sawa MUUZA SURA??
hedem yah ata akivaa bikini atapendeza ni mrembo kwa kweli, hongera zake.
Kili music awards!!!ngoma ya hemed iitwayo usiniache ipo na f.y.I hii ngoma ametoa video tu!audio haijawa released!TID ana ngoma mpya kama mbili lakini hamna iliyobamba!TID wa jana si wa leo!!!kina ommy dimpoz ndo wanaibeba top band!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom