ni s.h.o.g.a mmoja maarufu ndani na nje ya tanzania,anatokea pande za tanga.
huwa napata shida sana kuamini kama wewe ni mwanaume, kwa post zako kuhusu huyo dogo!!My life is your entertainment...PHD in BBM,mnakandia hadharani inbox mnanitingoza....PHD in FB!!!!!!!!!!!!!
huwa napata shida sana kuamini kama wewe ni mwanaume, kwa post zako kuhusu huyo dogo!!
Utakuwa umekulia katika familia ya kitajiri na Mungu kakubariki muonekano!!!pesa na muonekano mzuri huondoa chuki n vice versa!!!Mwacheni akajaribu bahati yake. Kila mtu na andiko lake, na mkumbuke kila mtu ana mapungufu yake ktk dunia hii.
Watanzania tusiwe watu wa negativity tu daily.
Mimi siyo hater!halafu katu siwezi kumkandia mtu bila sababu!dogo is doing poa na kwangu si threat!anazungumziwa hapa kwasababu ya kipaji!jiulize kabla ya TPF alikuwa anajulikana?nani alimpeleka TPF?katika movie industry ana mda gani?nyimbo zake zinafanyaje?halafu angalia vijana wangapi wa rika lake TZ hawana inshu mtaani!...wengi wanamchukia cuz ya kujipenda na wanawake kuwaweka karibu n nutin else!
wewe nawe umezidi!!! kila akitajwa huyu hemedi lazima utoke huko chimboni....kuna siasa,michezo mapenzi ya kuchangia sio hilo bwabwa tu au wewe ni basha wake???????