Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani,

Unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?
 
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?
Yan huu wivu aisee... Bro.. Wacha Wivu.. Watu na Passion za Kazi zao.. We kama huependi kazi yako kavunje mawe aisee..
 
Acha ushamba kuna habari gani ambazo huzipati kwenye social media mpaka usubiri taarifa ya habari saa 2 usiku au na wewe umekuwa mtoto? badilika broo.
Naona hukutaka kuremba, ukaamua kumpa za uso!
 
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?

Me mwenyewe ananikera aisee,,,ni mpuuzi
 
Yaani siku asipotangaza mi huwa sivutiwi kabisa na habari za michezo!

Acha ushamba wewe ile kitaalamu tunaita branding......ukisikia sauti tu unajua huyo ni hemed kivuyo

Au yule wa bukoba Geoooooorge marato wa itviiiiii
 
Back
Top Bottom