Help:nimechapiwa sijui nifanye nini

Help:nimechapiwa sijui nifanye nini

Anatishia kujiua mwambie anywe digoxin 10 kila mtu ultimately si atakufa tu ila kama yeye anataka kutangulia atangulie tu. Yaani afanye upumbavu halafu atishie kufa na ajiue tu akitaka
 
Duh hapo kazi ipo. Sasa fanya hivi;

1. Mwambie unampenda ila kwa sasa unahitaji muda wa kutafakari maisha ya mahusiano yenu baada ya kuwa amefanya hayo aliyokwambia. Inawezekana mengi hajakwambia

2. Mwambie akapime afya yake na hakikisha kama ukizidiwa(akikulaghai kufanya mapenzi) TUMIA CONDOM. Apime tena na tena mpaka miezi mitatu ipite

3. Akuambie huyo aliyelala nae ni nani! Mfahamu, ona uhusiano wao ulikuwaje. Je ilikuwa one night stand au ni ex boy friend

4. Usipanic wala nini ila ukisikia maumivu kubali kuumia kidogo kisha potezea.

5. Anza kuwa na mpango wa plan B.
 
Heaven on earth huyo binti alisha msoma huyo jamaa na akajua udhaifu wake ndio maana ame comfess akijua ata samehewa, na hata mleta mada alisha msamehe muda mrefu hapa ana hitaji go a head tuu.

No wonder hili swala la kujiua limewekwa hili kushinikiza maamuzi yake tuu.

Rutta kama usemavyo keshamsoma mdhaifu ya mchumba wake..huwezi kutoka

utokako ukaja kusema eti nimekucheat kirahisi rahisi....huyo mleta mada ajue Akili Mukichwa..

mie ka ni mwenza wangu wala usithubutu kujaa kuniambia...some things should not be revealed...
 
Ntashangaa sana ukimsamehe.
Unatakiwa ujue kuwa hukuzaliwa nae huyo mme kutana duniani bahati mbaya tuu, hivyo unatakiwa kuchukua maamuzi magumu hasa mtu anapo kiri kukisaliti makusudi.

Tatizo lako unafikiri uwezi kuishi bila yeye na anajua hilo ndio maana ame kusaliti na amekuja kukwambia na mkwara juu wa kujiua.

Na kuhakikishia ukimwambia unamuacha ataanza kukubembeleza badala ya kujiua kama alivyo sema.

Usikubali kupumbazwa na maneno na vitisho vya kujiua muache aende.



Usiogope kuumia muache na usipofanya hivyo ataendelea kukusaliti huku akijua huto muacha maana unajua atajiua.

Deja vu.
 
Jamaniiii usiseme hivyo bhathiii wenzio ze ufoo saro saga hayajatutoka bado ivo
sijaelewa ulichosema...kama anampenda sana na yupo tayari mpaka kufa asingecheat on the first place...huyu mwanaume anafanywa zoba!!
 
sijaelewa ulichosema...kama anampenda sana na yupo tayari mpaka kufa asingecheat on the first place...huyu mwanaume anafanywa zoba!!

una msimamo mkali! ungekuwa wifi yake angeipata fresh. lol
 
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?
Kutokana na hapo kwenye bold jiulize:-
Je huhitaji kumuona kwa sasa tu au hata baadae?
Kama utahitaji kumuona kwa baadae basi mrudie ili asijiue;kama ndo hutaki foreva basi mwache uendelee na msimamo wako kitakachotokea..mimi sijui..
 
Kama ni kitumbua basi kimeingia mchanga tyri, na ameanzaje kukuambia sio bure kuna kitu pengine anahofia wew utaskia kutoka kwa wengine, Au jamaa aliekula mzigo ata tangaza kwhyo ameona aifute aibu mapema, endelea kuchunguza hawezi atoke 4rm no where aje aseme tu Eti! nimeliwa mzigo, hapo kuna kitu
 
ukiwa mjanja kumegewa ni siri ya ndani,au kama vipi apigwe tu maana tumeshachoka wapigwe tu.
 
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?

jiulize n kwanini kaamua kukwambia? Je angekuficha ungejua? Tambua mahusiano yaliopo kati y jamaa aliecheat nae n y muda mrefu? Katika mahusiano yenu hukuwahi kumsaliti? Anakutegemea kwa kiasi gani/ muda mfupi uliopita kuni jambo kubwa ulimuahidi? Kuteleza kama binadamu kunatokea kama alikusaliti ktk mazingira hatarishi n sikupanga wakavuane makufuli! The way unavyo mtreat kwa kuonesha unavyo mjali n kumpenda atakuwa anajuta kw alilolitenda, mpaka kafikia hatua y kukuweka wazi nahisi anatakuwa anajuta.
 
When you are 2gether, you are 2gether.
When you aren't together, you aint together!
Always remember that .... Kama analipa mpakate kishkaji, mapenzi hamna hapo.
 
wanawake wa siku hizi majanga yan anachapwa nje harafu anakuja kukwambia amechapwa wewe utakuwa bushoke
 
Hivi inakuwaje unalalwa na mwanaume huko halafu unaenda kufanya Confession

si angeenda hata kwa baba Paroko kuconfess.......maana unaweza dhani utasamehewa

kumbe wajipalia mkaa..kuwa cheated inaumiza sana hasa kwa mtu unaempend kwa dhati...

the worst feeling ever

toba ya kwanza anayoipenda BWANA ni kwenda kumalizana na uliyemkosea kwanza,
 
Wanaume ..... Very selfish

Nyie mkilala nje mnataka msamehewe

Ila wanawake wanageuka uchafu


 
huyo inaonekana hakutaki anatafuta njia muachane.... haiwezekani hujamfumania amemegwa huko eti anakuja kukusimulia. muulize kwanza jamaa wakati anamfumua alivaa kondomu? au walipiga kavukavu.... AIDS is around the corner bro.
 
Hilo si kosa la kusamehe kumbuka jasiri haachi asli, asikutishie kujiua achana nae.
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo msamehe.cjui nifanye..kwa sasa sii hitaji hata kumuona,na mwona kama uchafu..nifanye nn.?nimsamehe au nimwache..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom