Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 935
- 733
Akikusamehe uache ujinga wako wa kuhadithia kila kitu hadi visivyohadithiwa
nadhani yuko sahihi kuhadithia alichofanya kwa mpenziwe, kwanza ameutua mzigo ambao ungelimsumbua kwa muda mrefu na pili atakuwa makini kutokurudia kosa alilofanya la kumtenda mpenziwe! Ingawa mara nyingi huwa tunafanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira mi nadhani kumsamehe ni uamuzi mzuri zaidi!