Help: I cant wash his underwear

Help: I cant wash his underwear

Majanga haya ngoja ampelekee kidumu akusaidie

Aaaaah... ! Mbona umemwambia tena?! Mwache aone mziki wake. Analeta usista do kwenye ndoa? Kama mumewe anabanwa na kz, ni sahihi kufanya hayo. Ila kwa upande mwingine isiwe kila siku. Jamaa akienda kuoga si afue kufuli mwenyewe?
 
Wakati mwingine naona wanawake wako kama watumwa vile... dume lifanyiwe kila kitu, kila kitu...
umpikie, umfulie, umpasie nguo, umuandalie ipi avae, soksi na boksa ziwe safi, utandike kitanda na bado kila iitwapo usiku ulale bila pichu...
mwisho wa mwezi mnagawana majukumu 50/50...
Its not fair kwa wanawake, lol.

that why i was thinking to love u ....
 
mmmhhh we nawe
tafuta msaidizi basi.

btw ht cc tunachoka bana tuwe tunasaidiana jamani.
km hela tuna tafuta wote unless naweka hg aiseeeee hizi kazi ndogo 2 zinachoshah km nn
 
Nilipi unaweza kumfanyia wewe ambacho mwenyewe au mtu mwengine hawezi kumfanyia?
 
Uli-skip kitchen party nini??maana hayo ndio mafunzo muhimu yanayosisitizwa kwenye hiyo session,hayo wanayokushauri wana JF wengine hapo juu kuwa unatakiwa kufanya yafanye kwani kwa mila zetu sisi watu weusi hiyo ndio maana ya ndoa,tunaoa ili wanawake watufanyie baadhi ya vikazi fulani,anyways in short hiyo ndio raha anayoitaka mwanaume wa kibantu,ukitaka ufurahiye hiyo ndoa yako usiende kinyume na matakwa ya huyo mume wako maana uliowaacha nje ambao hawajaolewa hapo ndipo wanapochukulia advantage.
 
Mama ndoa yako iko itaisha sasa hivi!!!! Maana watapatikana ambao wanafua kwa kulamba tu!! Sasa wewe ukiona anang'aa usiulize swali byeeeeeeeeeeeee ndoa changa
 
pack your belongings, trust me, he wont bother you any longer!
 
Kama tu kazi ndogo ndogo za kumhandle mumeo unaona shida je siku akiumwaa hawezi hata kujisaidiaa utaweza kumuoshaa na kumjali kwelii !!!kama tu kufua boxer huwezi namuoneaa hurumaa huyo mmeo maana hajapata mkee bali garashhhha
 
kiukweli hili sio jambo lakulisema mbele ya watu wengi namna hii.umejaribu kuongea na mumeo? yeye kasema nini juu ya hlo? ikiwa tatizo linakukera sana mfuate rafiki yako unayemfahamu na kumwamini huyo anaweza kukupa ushauri unaofaa.

help can't wash his underwear......unataka wakusaidie kufua? mumeo atampata anayejua kuzifua then utakuja na kuanzisha uzi wa mume wang ananisaliti.stay calm wauulize hata waliooana wenzako wanaishije..

iwapo jamii yetu itaendelea kuwa hiv tutasahau lile neno la mpaka kifo kitutenganishe
 
Subiri apate mwanamke amfanyie vyote ivo na mbwembwe kibao uone kitachotokezea...kaa na uzungu sijui ustaarabu wako usije kulia tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Inaonekana unaona kinyaa kufua nguo za ndani za mmeo.Je siku yuko hiyo anajisaidia kitandani kitandani utadhubutu kumtawaza akijisaidia kitandani? ww ni bdalili ww si mke mwema mwenye kuweza kuvumilia mme kwenye shida na raha
 
Subiri apate mwanamke amfanyie vyote ivo na mbwembwe kibao uone kitachotokezea...kaa na uzungu sijui ustaarabu wako usije kulia tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[/QUOTE

Anajifanyaa tu hapa sasa sijui anataka nan afue boxer za mmewe wakati raha anaipataa yeyee,labda Farkhina umsaidiee
 
Atapata wa kumsaidia hizo kazi,Ila asiache kuja kutuambia tu,huyo mume atakavyohama kwake.Na usitulilie umeyataka.
 
Back
Top Bottom