Help: I cant wash his underwear

Help: I cant wash his underwear

Mi naona boxer unaweza fua ,mengneyo ajiri house girl
ama nunua washing mashine...
Mhhh hyo ya had kumpigia polish loooooh nyie wanaume? Na sie hatuendi kazini?,nikiomba na mimi can u return the favour?muwe na huruma jmn,
ingekuwa mim haki nisingefanya..
 
vikizidi ndio kero lakini vitu vingine waweza vifanya kwa mapenzi tu. kuna mambo mengine sio kwamba mwanamke anamfanyia mwanaume bali anafanya kwa ajili yao wote, mfano.. chakula nitachopika sio nimempikia bali nimepika ili tule. kwa tunaopenda wanaume zetu waende smart kwa ofisi lazma tuhakikishe wamevaa nguo safi na zilizopigwa pasi.
Sijui wamekusikia ila nadhani wamesikia hasa huyo mtoa maada umeomgea jambo zuri sana,muda mwingine wanawake hii ya 50%-50% itavunja ndoa za wengi huku wakizipenda mtu unamuita baby halaf nguo za ndani za baby wako hutaki kufua unataka nani amfulie baby wako unafikiri wakimuona baby wako ni mchafu watamuangalia nani? halafu hii ya 50%-50% mbona huanzia ndani wakati mtu ameolewa kwanini isianzie kwenye process yaani hata mahari iwe hivyo hivyo mambo ya harusi iwe hivyo hivyo naona wanaharakati hilo wamelisahau wangepigania na hilo kwamba kama ni mahari wachangie upande wa mume na wa mke,nakunuuu tena maana nimepapenda hapa"Siyo kwamba mwanamke anamfanyia mwanaume bali anafanya kwa ajili ya wote........kwa tunaopenda waumezetu wawe smart kwa ofisi lazima tuhakikishe wamevaa nguo safi na zilizopigwa pasi" kwa ambao hawapendi ndiyo hao hata kupika atataka anapo kata kitunguu mume akate nyanya na kuonja waonje wote sasa sijui kama mtu atasifiwa kuwa umepika chakula kizuri maana wote mlikuwa jikoni
 
Daudi1...sawa tumemsikia husninyo
ila ishu km ya kumpigia shoe polish nayo mme anasubir had wife afanye jmn loooh...
Mloolewa ndo mambo hayo??
 
Last edited by a moderator:

I am a newly-wed and I am already having problems with my husband, for the simple reason that I refuse to do things like washing his underwear, polishi
ng his shoes and ironing his clothes. I believe he can do these tasks for himself since he is a grown man, but he insists that it is my duty as a wife to do them for him. He says that I am hardheaded and that I'm going against the biblical commandment ordering wives to submit to their husbands. Did I get married to become a slave? Please give me an amicable solution for this issue.
#Rachel

You need to do it. However, mnaweza mkayaongea na mkawekana sawa,lakini kwa dunia ya sasa kusaidiana ndio swala la msingi sana.
 
I did some things for my husband with delight. I loved to wash for him, iron, scrub the floors and cook even with a househelp around.
It feels heavenly to know that you are taking good care of your man.

I love you girlie...
 
sasa kama huyo mwanamme akiumwa kalala kitandani hajiwezi kila kitu anamalizia hapo hapo si utamuacha peke yake
 
Subiri apate mwanamke amfanyie vyote ivo na mbwembwe kibao uone kitachotokezea...kaa na uzungu sijui ustaarabu wako usije kulia tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums[/QUOTE

Anajifanyaa tu hapa sasa sijui anataka nan afue boxer za mmewe wakati raha anaipataa yeyee,labda Farkhina umsaidiee

Hahahah atapata tu wasaidizi mwache....mie nna wangu ati

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Daudi1...sawa tumemsikia husninyo
ila ishu km ya kumpigia shoe polish nayo mme anasubir had wife afanye jmn loooh...
Mloolewa ndo mambo hayo??
Issue kama hiyo anaweza kukusaidia wewe unanyoosha yeye anabrash viatu vyake,nadhani hata ww unajisikia raha mpenzi wako anapopendeza uongo.....sasa angalia mtoa maada et nguo za ndani za mume wake hataki kufua kunyosha nguo pia hataki hizo kazi ataachiwa house girl halaf baadaye huyo dada atakuja kulalamika hapa mume wake anatembea na house girl.....naomba niulize tu swali dogo hivi mnapopigania haki sawa na mahouse girl huwa mnawaangalia? au wao kwenye hili hawahusiki? maana hizo kazi kama mke amegoma zigo linamuangukia house girl
 
Mi huwa sio mshabiki wa haki sawa cz a man and me lazma tuwe tofauri
ht kazi za nyumbani kufanya sioni tatzo bt sipendi zinielemee hadi nipachukie home au mtu aexpect hadi niwe namvua socks...
,ndo kuna umuhimu wa hgirl hapo kusaidia baadhi cz kw experience ya home tu ku'keep nyumba looking crisp n smart all the time ni mbinde kdogo,labda mkae wawili ndo haitakuwa shda sana..
Sasa hyo ya kufanya kwa kulazimishana bwn sioo jmn...out of love sawa
 
Man is the head of familly&Men is the foot of family!so that is the daily contion action cct, if u ds'lk go aparty.
 
wewe nawe, kuosha hiyo pichu yake tu huwezi, je kumkatikia kitandani utaweza kweli?
Husninyo, umenichekesha sana... Kukatika nako kazi....

Hebu fikiri, unamkatikia mumeo ambaye anakojoa baada ya lisaa, halafu ukute siku hiyo kahisi we kigoli ndo anaunga la pili, kwa hiyo saa ya pili hiyo unakatika... Sasa ukute siku nyingine anataka ukatike kwenye kochi, mara juu ya dining table, mara kwenye sink la kuogea... Huyo wa kushindwa kufua boxer lazima ashindwe... Chezeya genye mshindo...
 
Dada hapa unatia aibu...kwanza kumbuka maandiko kama ww mkristo kwamba Mungu alimuumba Adam....na akaona vyema akamtaftia msaidizi....haya ww bidada kwel unajipinda kuandika thread huwez mfulia mumeo pich* kweeeel...

Dada jitume coz nyumba ndogo zinakunyemelea kama fisi aliyeona fupa...
 
Nafikir amtafutie mdada mrembo wa kumsaidia hzo kaz kama zna m; boa
 
Hivi hizo tabia ni lini ulizijua? Au ndo mapenzi ya kwenye social nets?ulitakiwa kumjua mwenzio,kuna tabia za kumrekebisha na nyingine za kuvumilia. Halafu nawe eti uko kwenye ndoa!!
 
Back
Top Bottom