Hellow wamajhtnami nabisha hodi

Hellow wamajhtnami nabisha hodi

pepim

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
335
Reaction score
52
Hellow wanajf hodi hodiii,ni mimi mwanajf mpya....Nawaponezeni kwa jinsi ambavyo mnatoa mawazo yenu juu ya watu wenye shida mbalimbali, kutoa taarifa mbalimbali n.k. Nathubutu kusema nimejifunza mengi kupitia michango hiyo..........2lisukume hili gurudumu jamani na wala tusife mioyo kwasababu kwenye msafara wa mamba na kenge wapo vilevile.
 
karibu sana ila mkuu soma vizuri jamii forums rulesyaani hizi ni kama shake well before you use!....
 
Ahsanteni sana,ahsanteni mno ahsanteni kupita kiasi,nimeishakaribia....Falsafa yangu ni mgeni njoo mwejeji akome....
 
Back
Top Bottom