Hellow, soul mate uko huku JF au?

Hellow, soul mate uko huku JF au?

Mimi mwanaume wa miaka 24..niko dar es salaam. Siwezi kutongoza kwa sababu naona uvivu kubembeleza kwa kipindi kirefu, nahitaji msichana mmoja tu aliyeserious awe mchumba wangu ... Nitumie email ili nikupe namba yangu ya simu
Email: Jas.mine2017@yandex.com
Watasikia😂😂😂
 
Back
Top Bottom