Hellow, soul mate uko huku JF au?

Jana usiku, a bunch of single friends of mine gathered at home, aged 32 - 35!

Nyie ma soulmate mpo wapi?! Kama mpo huku JF naomba mje inbox niwaconnect, rafkiangu zangu wasiteseke!
Ahahahaha
]
Yeah, yeah nicely presented! Natumaini umepata PMs za kutosha. Kweli unawajali rafiki zako:)
 
Hh ah ahhah ah ha...... Tatizo millage zimeenda sana,,!



Embu fanya kuniconnect na mmoja then , nitakupa jibu soon!
 
Wakitoka hapo wakiombwa namba wanakua wakali kama simba halafu wanalalamika hawana soulmate
 
Sawasawa ukiwa gumegume nani hakutake...cha ajabu kuna wanawake wameumbwa kugongwa na kuachwa tu ila ndo uwaga wanajiona wajanja hasa mbele ya wanawake wenzao ...ana mshauri shoga ake ujinga ujinga wkt yeye alivyo ht kupata mwanaume wa maanA wa kudumu hawezi... mcharuko type...mwanaume anakupata leo ht week ajamaliza keshajua amefail vby sana..anatafuta sababu ya kukuacha tu...
 
Hao mashoga zako kwa jinsi ulivyowa describe ni type ya mashauzi classic af wanakuwaga wabovu kinyama(mange kimavi et.al,,,).Watu wa maigizo kwenda mbele mpaka reality imewaacha mbali ndio wanajistukia eti wapo lonely, waambie wakaolewe na ma HB waliowaonaga wa maana kipindi umri unaruhusu tumbav!!!

Hapa ni mwendo wa free Mbupu tu mpaka Yesu arudi!!! Hakuna uchi wa mchezo,
 
Penny are you single...

You r pretty good in talking single situations... U must be presenting urself..
 
Back
Top Bottom