data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,883
Omba picha kwanza.Money penny ebu niunge nao hao rafiki zako
Omba picha kwanza.Money penny ebu niunge nao hao rafiki zako
Hawezi kutuma mkuuOmba picha kwanza.
haya mkuu, kila kheriHatuna kazi tunasubiri kuajiriwa na Uncle Ngosha!
Ngumu kunipata bossWalete na sie tu test hata wewe pia nakutaka
SauwaWaambie wasijiachie sanaa Siku hizi magonjwa ya zinaa mengi hayaangalii kuwa upo single au laaah
Yani pm mpaka natamani mods watunge pm yanguYeah, yeah nicely presented! Natumaini umepata PMs za kutosha. Kweli unawajali rafiki zako🙂
Aisee😂😂😂😂Hh ah ahhah ah ha...... Tatizo millage zimeenda sana,,!
Embu fanya kuniconnect na mmoja then , nitakupa jibu soon!
Hhihihi kuna vibamia washakuja tayari 😂😂Mnaokwenda PM hakikisheni mna mihogo ya jang'ombe lasiivyo mtakimbiwa. Kama bwana mjeshi
Sijaanza kabisa me nahadithia HADITHI Tu😂😂😂Money Penny....umeanza lini kazi ya u'pimp?
Soulmate anatoaga namba kilaiiiiini😂😂Wakitoka hapo wakiombwa namba wanakua wakali kama simba halafu wanalalamika hawana soulmate
Bro sasa unalialia Nene?!Sawasawa ukiwa gumegume nani hakutake...cha ajabu kuna wanawake wameumbwa kugongwa na kuachwa tu ila ndo uwaga wanajiona wajanja hasa mbele ya wanawake wenzao ...ana mshauri shoga ake ujinga ujinga wkt yeye alivyo ht kupata mwanaume wa maanA wa kudumu hawezi... mcharuko type...mwanaume anakupata leo ht week ajamaliza keshajua amefail vby sana..anatafuta sababu ya kukuacha tu...
Wamesema washakucheki pm haujajibu😂Money penny ebu niunge nao hao rafiki zako
Mama WA Miaka 63 mwenye ndoa ya Miaka 35Penny are you single...
You r pretty good in talking single situations... U must be presenting urself..
Weka yako kwanzaHuu uzi ungeambatanisha na pic ungeleta maana zaidi