Aya karibu best ila weka avatar ili nikukumbukeAsante sana,nimefurahi kupata rafiki huku
Kujiunga kimya sio mbaya kinacho hitajika ni kuheshimu sheria za jf pamoja na wadau wakeKaribu Dear!IJapo mie nimejiunga kimyaa kimya
Kweli ni mpya ila upo kama wa zamaniKaribu Dear!IJapo mie nimejiunga kimyaa kimya
Jisikie upo nyumbani mdogo wanguAsante dada