Alcohol Quiters: Sober Days Counter

Alcohol Quiters: Sober Days Counter

That_Big_MAN

Member
Joined
Oct 28, 2026
Posts
28
Reaction score
32
Hello JF.

Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k.

Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15.

Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili mwilini ziko nne.

66458.jpg

Si kazi rahisi kuacha pombe. Mazoea ya mwili, mazingira na watu. Kuna wakati unatamani ukakitafute kinywaji, ila NIA NDIO INASIMAMIA.

Uzi huu nimeuanzisha kama msukumo wa kusimamia nia, pia kujumuika na wadau walioacha au walio kwenye safari ya kuacha au wanaotaka kuacha.

Najiona niko Phase Two ya hizi siku 30. Mtindo mpya wa maisha.

1. Najitahidi saa 4 niwe nimelala saa 11 asubuhi naingia mazoezini.

2. Makutano ya bar nimeyapunguza sana.

3. Mara moja moja, natumia Baltika 0% — Non Alcoholic beer.

66459.jpg


Karibu katika safari hii.
 
Kila nikikumbuka nilimaliza miaka mi3 sijaonja pombe, nilipopitia changamoto fula ni nikaanza kunywa hard liauor nashindwa kuamini hizi safari za ku quit kilaji!
Sure ni ngumu sana. Si rahisi, na experience inaonyesha ukirudi, unafungulia bomba hasa🤣

Kwanini uliacha?
 
Hello JF.

Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k.

Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15.

Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili mwilini ziko nne.

View attachment 3707782
Si kazi rahisi kuacha pombe. Mazoea ya mwili, mazingira na watu. Kuna wakati unatamani ukakitafute kinywaji, ila NIA NDIO INASIMAMIA.

Uzi huu nimeuanzisha kama msukumo wa kusimamia nia, pia kujumuika na wadau walioacha au walio kwenye safari ya kuacha au wanaotaka kuacha.

Najiona niko Phase Two ya hizi siku 30. Mtindo mpya wa maisha.

1. Najitahidi saa 4 niwe nimelala saa 11 asubuhi naingia mazoezini.

2. Makutano ya bar nimeyapunguza sana.

3. Mara moja moja, natumia Baltika 0% — Non Alcoholic beer.

View attachment 3707789

Karibu katika safari hii.
Hapo kwenye baltika soon......
 
Kila nikikumbuka nilimaliza miaka mi3 sijaonja pombe, mwaka mmoja nilipopitia changamoto fulani nikaanza kunywa hard liquor nashindwa kuamini hizi safari za ku quit kilaji!
Though sikuwa mtumiaji mahiri, nimeweza kutoka kwenye magereza ya pombe na bangi miaka 2 sasa.

Haufiki mahali ukaacha kutamani hivi vitu, ni pambano la kila siku.

Kila siku unaamua usitumie tu. Quitting and forgetting is a myth.
 
Though sikuwa mtumiaji mahiri, nimeweza kutoka kwenye magereza ya pombe na bangi a kitu sijaona madhara yake kwangu?miaka 2 sasa.

Haufiki mahali ukaacha kutamani hivi vitu, ni pambano la kila siku.

Kila siku unaamua usitumie tu. Quitting and forgetting is a myth.
Kwanini uliacha?

Kwanini nipambane kuachana na kitu kisichoniletea madhara?

Whhhyyy??
 
Najua ipo siku nitaacha mana sasa hivi nikilewa weekend nalala ndani siku tatu na hangover
Mwezi wa sita nimeacha weed, mwaka wa nne nimeacha sigara na vyote sioni nikirudia
Siku ya pombe inakuja pia
Substance ni ujinga sana but we are cooked generation
 
Kwanini uliacha?

Kwanini nipambane kuachana na kitu kisichoniletea madhara?

Whhhyyy??
Sababu za kuacha ni nyingi, ila kubwa ni kuzika wanafamilia kadhaa kwasababu ya pombe.

😂😂eti kisichokuletea madhara... hebu "google" pombe inasababisha saratani ya matiti kwa kiasi gani.

KE mko hatarini sana. Pombe inakaanga mayai na kuchoma matiti.

We Seroo huogopi eee...
 
Nimejitahidi tangu tarehe 25 october sijagonga kitungi nilikua kwenye dozi ila jmosi tarehe 7 shetani kanipitia nimeenda kwenye harusi nikashtua kidogo na jpili nikajidunga tena bapa.

Ila nimerudi tena kwenye mapambano ya kuacha/kupunguza kabisa matumizi ya pombe, strategy niliyoamua kuenda nayo kwa sasa ni ya kuwa just a social drinker maana nakiri nilikua alcoholic machachari sana, kila siku lazima pombe kali ihusike ila sasa naona afadhali kama naweza kumaliza wiki bila kunywa.
 
Sababu za kuacha ni nyingi, ila kubwa ni kuzika wanafamilia kadhaa kwasababu ya pombe.
Aisee pole!
😂😂eti kisichokuletea madhara... hebu "google" pombe inasababisha saratani ya matiti kwa kiasi gani.
Bangi itaniokoa🌚
KE mko hatarini sana. Pombe inakaanga mayai na kuchoma matiti.
Mayai hayahaya ya chips au?
We Seroo huogopi eee...
😢
 
Hello JF.

Binafsi nimekuwa mpiga masanga kwa takribani ¾ ya maisha yangu. Masanga imenipa deals, mabalaa, fedheha, madem, wana, masnitch n.k.

Sasa imetosha. Nimemua rasmi kuacha. Siku yangu ya mwisho kunywa, ilikuwa ni Oktoba 15.

Kwa mujibu wa Gemini, phase za kuacha pombe na yanayojili mwilini ziko nne.

View attachment 3707782
Si kazi rahisi kuacha pombe. Mazoea ya mwili, mazingira na watu. Kuna wakati unatamani ukakitafute kinywaji, ila NIA NDIO INASIMAMIA.

Uzi huu nimeuanzisha kama msukumo wa kusimamia nia, pia kujumuika na wadau walioacha au walio kwenye safari ya kuacha au wanaotaka kuacha.

Najiona niko Phase Two ya hizi siku 30. Mtindo mpya wa maisha.

1. Najitahidi saa 4 niwe nimelala saa 11 asubuhi naingia mazoezini.

2. Makutano ya bar nimeyapunguza sana.

3. Mara moja moja, natumia Baltika 0% — Non Alcoholic beer.

View attachment 3707789

Karibu katika safari hii.
niko sober mwaka wa 5 sasa ila haikua rahisi aisee,nilikaribirai KUDATA mana usingiz nilikua sipati na kuna hali inakutokea yan ni kama unakua na mawenge muda wote,,miez 6 ya kwanza nilikua naacha nakurudia mana nlikua karibu na ma clubs ba bars kwahiyo unaweza kuta saa saba usiku usingiz unakata halafu kuna sauti inaniambia amka kanywe kidogo,basi hapo hulali,naamka naenda kunywa nikirudi nafsi inaniambia umefanyaje tena? yan unatokwa na jasho na ukishastuka usiku hulali tena...baadae nikashangaa ule uraibu ukaisha kabisa mpaka leo hii sijawah kugusa bia,soda wala energy...kuwa sober si kazi rahis na ndo mana wengi wanarudia tena unywaji mana inabid uwe umejipanga socially,spiritually mana si kazi rahis unapambana na NAFSI MBILI katika mwili mmoja inabid uwe tayar si matani babu.
 
Back
Top Bottom