Referee kwenye moja na mbili ππππ karibu naitwa Lamomy, muungwana wowote akikutongoza pm ni add nikusaidie kufatilia mazungumzo yenu wasije kukudanganya..!!
Mimi nipo kitengo cha kudhibiti majambazi wa mapenzi okay?
Sisiem wenyewe wameamua kuwa makatili mkuuJibu la kikatili sana hili
Vitu ganiToa vitu
Acha udodoma
Ana miezi mine walioenda naenwamesharudi walitupa majibu ambayo hatukulizishwa nayoAnamuda gani tangu aende? Kama haijazidi mwezi mmoja kuwa na subira, maana gari za mizigo mara nyingi zikienda Congo zinachelewa kurudi , wanaowahi kurudi ni wa tank za mafuta ndani ya siku 14 anaweza kugeuka
Sipo ivoNjoo geto 0678077863
Asante mama mchungajiKaribu binti yetu, mimi ni mshauri wa kiroho na kiongozi wa maombi na dua kwenye hili jukwaa.
kila ijumaa saa 11 jioni huwa naendesha dua za kuombea mahusiano na kuhamasisha furaha kwenye maisha
Karibu sana π€
Kushangaa nini mimi sijashangaaUna shanga?
Kazi ganiJamani shitukeni na hizi ID mpya humu!! Watu wapo kazini.
π
πΉπΉπΉHapana hapana mkuu mimi ni sawa na baba yake
πΉπΉπΉReferee kwenye moja na mbili πππ
Tunaolipwa ni mimi na Harmful π€£Hahaha hujalipia anyways ila sio shida karibu jitahidi uanze kulipwa kama sisi
Cc: Rayns Mbaga Jr Poor Brain min -me Vincenzo Jr
Hakika mkuu, huyo ni Binti yetu sote lazima tumlinde asje akaliwa tunda kimasihara. π€£Ni binti yangu huyu mkuu, msimtongoze tu bado mdogo sana π
Nani?DR HAYA LAND 30 JR anahangaika lknπ€£
Nani?Aside kuwa yule Dr tu, ila akianza kile kizungu chake nitajua tu.