Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,518
- 8,967
Ngoja nikufundishe ku-quote, angalia ujumbe unaokusudia kuujibu chini mkono wako wa kulia utaona neno (reply) bofya hapo utaona inakuletea uwanja kuandika ujumbe wako. Sawasawa binti yangu?
Hivi
Ukumbuke ukarimu wa Jabari XVI siku moja umzawadie akija huko vikindu.