Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,325
- 62,202
Alienda nchi gani mara ya mwisho?Mwezi wa nne huu sasa sjui kama yupo mzima😭
Alienda nchi gani mara ya mwisho?Mwezi wa nne huu sasa sjui kama yupo mzima😭
Siitaki hataMcheki member anaitwa komredi Lucas Mwashambwa akupe mwongozo wa kuipata au komredi Tlaatlaah
HahahahaKaa kimya
Sio poa kuongelea hayo mambo hapa dear muingie kwenye kisanduku cha meseji pale juuu 🤣
Unataka umsaidie auAlienda nchi gani mara ya mwisho?
Kijana CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo wewe. Unakosea sana kuikataaSiitaki hata
Ninataka nimsaidie ndugu yangu apate kadi ya muhimu kwa hapa Tanzania.Hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani shitukeni na hizi ID mpya humu!! Watu wapo kazini.Niliolewa ila mume wangu sijui hata yuko wapi alikuwa ni konda wa magari ya nje alienda hajarudi ni stori ndefu sana ameniacha na mimba yani nawaza na kuwazua ndugu yangu
Pretty usitoe taarifa zako picha, unapoishi itakusumbua baadaeNi vikindu ndo nakaa ni typing error
😘 karibu naitwa Lamomy, muungwana wowote akikutongoza pm ni add nikusaidie kufatilia mazungumzo yenu wasije kukudanganya..!!
Mimi nipo kitengo cha kudhibiti majambazi wa mapenzi okay?
Pole mgeni kwahiyo hapo una mimba ya miezi mingapiMwezi wa nne huu sasa sjui kama yupo mzima😭
Folliculostellate unacheka nini sasa 😂
Kweli asantePretty usitoe taarifa zako picha, unapoishi itakusumbua baadae
AsanteKaribu sana JamiiForums...
Mmmmmmh wewe uwe baba 🤣🤣🤣 jinantu Harmful kifimbo chezaaa🤪🤪🤣🤣🤣🤣Pole mgeni kwahiyo hapo una mimba ya miezi mingapi
Folliculostellate unacheka nini sasa 😂
Mimba Bado changa sasa kama Kuna nafasi ya kuwa baba nipo tyr mpaka mwenyew akirud naondoka
Mmmmmmh wewe uwe baba 🤣🤣🤣 jinantu Harmful kifimbo chezaaa🤪🤪🤣🤣🤣🤣Pole mgeni kwahiyo hapo una mimba ya miezi mingapi
Folliculostellate unacheka nini sasa 😂
Mimba Bado changa sasa kama Kuna nafasi ya kuwa baba nipo tyr mpaka mwenyew akirud naondoka
SiitakiNinataka nimsaidie ndugu yangu apate kadi ya muhimu kwa hapa Tanzania.
NdiyoUnataka umsaidie au
Una shanga?Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
Hahaha eti pretty 🤣🤣🤣 aya bhanaPretty usitoe taarifa zako picha, unapoishi itakusumbua baadae