Hello Hello naomba mnipokee

Hello Hello naomba mnipokee

Karibu binti yetu, mimi ni mshauri wa kiroho na kiongozi wa maombi na dua kwenye hili jukwaa.

kila ijumaa saa 11 jioni huwa naendesha dua za kuombea mahusiano na kuhamasisha furaha kwenye maisha :uwotWater:

Karibu sana 🤗
Kirohooo wa wapi wewe bibi umetoka kwenye uzi wako kule wa mambo ya MIGUNO🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anamuda gani tangu aende? Kama haijazidi mwezi mmoja kuwa na subira, maana gari za mizigo mara nyingi zikienda Congo zinachelewa kurudi , wanaowahi kurudi ni wa tank za mafuta ndani ya siku 14 anaweza kugeuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom