Hela ya mwanamke ni ngumu

Wanawake wengi ni wabinafsi sanaaa na hii ni kwa bongo/ TAnzania na sidhani kwa wenzetu weupe wapo hivi

Nakumbuka juzi juzi Hapa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi maalumu, Sasa nikabahatika kupata kazi mbili

But ilihitaji kiasi flani cha pesa na sikuwa nacho, nikapambana sana sikufanikiwa, nikaona ngoja ni mjuze mwanzangu huyu

Sasa basi nikamweleza bwana neema imenitembelea, ila nilikuwa naomba unitaftie sehemu nipate ela kwa riba nafuu ili nijiandae kwa ajili ya kazi au ukikosa unaweza nikopesha kwa riba hata wew(NB: yeye ni mtabibu wa ngazi shahada katika hospital kubwa hapa TZ)

Nilichojibiwa kiukweli sikuwahi kutegemea wala kudhani kuwa ndo yeye ananijibu hivi??

Alinijibu "yeye pesa zake hazikopeshwagi" na akaendelea kusema inabidi ujiandae kabla hujafanya jambo

Niliumia ila nilijikaza, nikajisemea ila hii kazi kwani nilitarajia kupataaa? Mpaka nijiandae...daaah nikapiga moyo na nikavunjika moyo saaana..... nikajisemea huwenda hafurahishwi na Mimi kupiga hatua au tayari akufukuzae hakwambii tokaa???

Inshort sikutegemea yaliyotokea, from that day nilimtoa kichwan na moyoni.....

NB: wakati yeye anaomba kazi nilikuwa nae bega kwa bega mpaka siku anareport anaanza kazi
Ndio ubavu wetu hao ,tuwavumilie tu hakuna kiumbe kingine kitakachochukua nafasi yao kwetu
 
Nambuka mother wangu alishawai kunisisitiza hii kitu alisema katika kutafuta mke au mpenzi kitu cha kwanza kuhakiki ni kama anatabia ya ubinafsi ,nakumbuka aliongea kwa msisitizo kweli niseje kuwa na mwanamke mwenye tabia ya ubinafsi hata iweje pia aliendelea kunidokeza kuwa mtu mwenye tabia ya ubinafsi lazima anakuwa na fungamano za tabia kama usaliti,visasi,roho mbaya,kutokuwa na uaminifu,wizi,uongo na pia anaweza kuwa na uchawi kiufupi alisema ubinafsi ni baba wa tabia zote mbaya. aliendelea kunitolea mifano ya viongozi na watu wenye ubinafsi jinsi wanavyotesa watu hapa duniani.kwa hili funzo mama abalikiwe na apewe siku nyingi za kuishi

Nimekuelewa vyema!!! Mkuu
 
Haipendezi kabisa alikosea mno
Majukumu nikusaidiana haswa mwenzio anapohitaji msaada wako
Acha tuu aisee, inaumiza sana Tena hasa kwasisi wanaume tulio na uchu wa mafanikio.....tunakutana ups and down nyingi Sasa kama umeo mwanamke wa namna hiii ....daah utaumia sana
 
Wanawake wengi ni wabinafsi sanaaa na hii ni kwa bongo/ TAnzania na sidhani kwa wenzetu weupe wapo hivi

Nakumbuka juzi juzi Hapa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi maalumu, Sasa nikabahatika kupata kazi mbili

But ilihitaji kiasi flani cha pesa na sikuwa nacho, nikapambana sana sikufanikiwa, nikaona ngoja ni mjuze mwanzangu huyu

Sasa basi nikamweleza bwana neema imenitembelea, ila nilikuwa naomba unitaftie sehemu nipate ela kwa riba nafuu ili nijiandae kwa ajili ya kazi au ukikosa unaweza nikopesha kwa riba hata wew(NB: yeye ni mtabibu wa ngazi shahada katika hospital kubwa hapa TZ)

Nilichojibiwa kiukweli sikuwahi kutegemea wala kudhani kuwa ndo yeye ananijibu hivi??

Alinijibu "yeye pesa zake hazikopeshwagi" na akaendelea kusema inabidi ujiandae kabla hujafanya jambo

Niliumia ila nilijikaza, nikajisemea ila hii kazi kwani nilitarajia kupataaa? Mpaka nijiandae...daaah nikapiga moyo na nikavunjika moyo saaana..... nikajisemea huwenda hafurahishwi na Mimi kupiga hatua au tayari akufukuzae hakwambii tokaa???

Inshort sikutegemea yaliyotokea, from that day nilimtoa kichwan na moyoni.....

NB: wakati yeye anaomba kazi nilikuwa nae bega kwa bega mpaka siku anareport anaanza kazi
Hawa viumbe kusahau ni dak sifuri yani
 
Akili hizi za vijana wa sasa ndio zinaibua mijadala ya usawa kwenye jamii......

Ndio maana wanawake wengi hawaoni umuhimu au ufahari wa kuolewa.......fahari kubwa ya mwanamke kuolewa na mwanaume ni kutunzwa.......

Mwanamke anaweza akawa na 10,00/= lakini 1,000/= anayopewa na mwanaume ina maana kubwa sana...imebeba ujumbe mzito sana juu ya uanaume wa mume wake.........

Ndio maana unaweza kukuta mwanamke ambaye ni meneja wa kitengo kikubwa mwenye mshahara mnono akitembea na kijana anayetunza bustani ambaye anajua maana na nafasi ya mwanaume mbele ya mwanamke.......
Wisdom
 
Mwanamke akito hela kwenye familia mara moja Tegema maneno kama Mimi nalisha familia hapa wewe sijui hela yako unapeleka wapi Aaha yani balaa.. Mara utasikia akiba yangu nashndwa hata kuweka kisa majukumu ya hapaa...
 
Wanawake mnatuonea kuna matumizi tunafanya nyie wenyewe hamuyaoni

Mfano tukiamua kubadili pazia, si chini ya 700,000 kwa nyumba ya kawaida.
Au kununua mashuka ya familia , pair moja 60,000 una vitanda vingapi??
Hapo hatujaongelea vyombo vya ndani, garden na matumiz mengine ambayo nyie mnayachukulia kawaida.
Sasa ongeza na nywele, cosmetics, chakula cha familia, nguo, kitchen part, ladies outings, wine parts na vitu vingine vidogo vidogo...ndo mana hela yetu ngumuuu
 
Kuna wengine hata hayo kufanya shida
 
Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana, sijui wakoje.

View attachment 1759120
Kazi iendeleee
IMG-20210421-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom