Hela ya mwanamke ni ngumu

Wanawake wengi ni wabinafsi sanaaa na hii ni kwa bongo/ TAnzania na sidhani kwa wenzetu weupe wapo hivi

Nakumbuka juzi juzi Hapa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi maalumu, Sasa nikabahatika kupata kazi mbili

But ilihitaji kiasi flani cha pesa na sikuwa nacho, nikapambana sana sikufanikiwa, nikaona ngoja ni mjuze mwanzangu huyu

Sasa basi nikamweleza bwana neema imenitembelea, ila nilikuwa naomba unitaftie sehemu nipate ela kwa riba nafuu ili nijiandae kwa ajili ya kazi au ukikosa unaweza nikopesha kwa riba hata wew(NB: yeye ni mtabibu wa ngazi shahada katika hospital kubwa hapa TZ)

Nilichojibiwa kiukweli sikuwahi kutegemea wala kudhani kuwa ndo yeye ananijibu hivi??

Alinijibu "yeye pesa zake hazikopeshwagi" na akaendelea kusema inabidi ujiandae kabla hujafanya jambo

Niliumia ila nilijikaza, nikajisemea ila hii kazi kwani nilitarajia kupataaa? Mpaka nijiandae...daaah nikapiga moyo na nikavunjika moyo saaana..... nikajisemea huwenda hafurahishwi na Mimi kupiga hatua au tayari akufukuzae hakwambii tokaa???

Inshort sikutegemea yaliyotokea, from that day nilimtoa kichwan na moyoni.....

NB: wakati yeye anaomba kazi nilikuwa nae bega kwa bega mpaka siku anareport anaanza kazi
 
Dunia ya leo iko speed sana.... Kati ya kitu huwa naona hakina logic ni hili swala la mwanamke kuwa na hela halafu hachangii chochote kwenye familia...

Akiwa hana hela ni kweli anapaswa kutunzwa vizuri na kupewa kila kitu... HII NI HAKI YAKE na mwanaume ni wajibu wako.
BUT
akiwa na yeye ana kipato lazima kuwe na utofauti na yule asie na kipato... Nasisitiza lazima kuwe na utofauti wa jinsi mtaishi... Ukiona hamna utofauti jua hapo huna mtu..

Haiwezekani men una buku,, halafu wife ana laki then home mnakula mlo mmoja eti kisa ni jukumu la mwanaume..Hela yake anaenda kuweka wiGi..
HIO NI KUKAMUA CHUMA HALAFU UKATAFAJIA MAJI.
 
Bro bado hujapata mwanamke wako, unadate mwanamke wa mtu.. Ukipata wako mbona hili sio tatizo.. Chako mnatumia, chake anona fahari mtumie woote, halafu sio lazima anunue kitu ndani, ama kukununulia hata kukushirikisha tu, baba chanja nimepata vilaki 2 hivi namtumia mama home, nayo ni matumizi pia..

Kuna wanawake kwao hii sio suala la kujadili kabisa, mkiwa ndani ya ndoa ni mwili mmoja, mguu ukiuma mtoki unatoka, jino likiuma mpaka kichwa kinauma.. Ukiona mwanamke ana akili ya chake ni chake, chako ni chako(sio ya dodoma) jua umekwama sehemu.
 
Hela ya mwanamke ni chungu mno, ni nadra sana ikatoka ikiwa safi without any doubt kwa mda huo au baadae. Ukiwa mwanaume usiiwazie kabisa hela ya Ke wako katika kutekeleza majukumu au mipango yako labda itokee tu yeye mwenyewe kaelewa ya kuwa unao uhitaji wa hela akupe mwenyewe ila vinginevyo hela ya hao viumbe kwa asilimia kubwa haitoki salama.
 
Inaweza kutoka kirahisi tu, ila siku ukiyakoroga ndo utajua pesa ya mwanamke sio ya kuililia, wacha afanye jambo kwako kwa hiyari yake.... Mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume, ko wanaume ni jukumu lenu kutunza wanawake zenu acheni malalamiko.
 
Boss binafsi sijakuelewa vizuri kwa sababu mara nyingi watu wamekuwa wakisema wanawake wanapenda kweli....pia hata makala mbalimbali yanaeleza hisia za kupenda kwa mwanamke..... Sasa wewe ulivyosema wanawake hawapendi kweli yani wapo kimasilahi zaidi,kwa kweli sijakupata yani unataka utuambie wanawake hawana,hisia za upendo au hisia hizo zimehalibika kutokana safari ya maisha? Mkuu nahitaji uchambuzi wakina maana hii kesi sio mara ya kwanza kusikia
Mwanamke ana upendo wa kweli pale ambapo amechukua maamuzi yake mwenyew kukupenda bila wewe kutia sound zako,
Hapo anakukubali kwa hali yoyote ilivyo hata kama huna chochote mfukon cha kumpa
 
Nambuka mother wangu alishawai kunisisitiza hii kitu alisema katika kutafuta mke au mpenzi kitu cha kwanza kuhakiki ni kama anatabia ya ubinafsi ,nakumbuka aliongea kwa msisitizo kweli niseje kuwa na mwanamke mwenye tabia ya ubinafsi hata iweje pia aliendelea kunidokeza kuwa mtu mwenye tabia ya ubinafsi lazima anakuwa na fungamano za tabia kama usaliti,visasi,roho mbaya,kutokuwa na uaminifu,wizi,uongo na pia anaweza kuwa na uchawi kiufupi alisema ubinafsi ni baba wa tabia zote mbaya. aliendelea kunitolea mifano ya viongozi na watu wenye ubinafsi jinsi wanavyotesa watu hapa duniani.kwa hili funzo mama abalikiwe na apewe siku nyingi za kuishi
 
Inaweza kutoka kirahisi tu, ila siku ukiyakoroga ndo utajua pesa ya mwanamke sio ya kuililia, wacha afanye jambo kwako kwa hiyari yake.... Mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume, ko wanaume ni jukumu lenu kutunza wanawake zenu acheni malalamiko.
We ulisikia wapi
 
nyie ingieni kwenye ndoa ndio mtaelewa.

hawa wadudu bana wa ajabu sana.
mapenzi kuongezeka anapogundua una hela,na hupungua kabisa zikiisha.

pesa yake inakuja kwako au inaingia kwenye matumizi kama mkopo,wala sio kusaidiana.
 
Inaweza kutoka kirahisi tu, ila siku ukiyakoroga ndo utajua pesa ya mwanamke sio ya kuililia, wacha afanye jambo kwako kwa hiyari yake.... Mwanamke ametoka kwenye ubavu wa mwanaume, ko wanaume ni jukumu lenu kutunza wanawake zenu acheni malalamiko.

Hoja dhaifu hii, kutoka kwenye ubavu.... alitoka ili awe msaidizi na si mzigo.
 
Msizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Mimi mpenz wangu ana nipa hela nyingi tu, lakin Kuna siku aliniambia nakupa pesa kwa sababu kazin kwake ana pata peza za madili hategemei mshaara ange kuwa ana tegemea mshaara pekee asinge nipa hela yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi ni wabinafsi sanaaa na hii ni kwa bongo/ TAnzania na sidhani kwa wenzetu weupe wapo hivi

Nakumbuka juzi juzi Hapa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi maalumu, Sasa nikabahatika kupata kazi mbili

But ilihitaji kiasi flani cha pesa na sikuwa nacho, nikapambana sana sikufanikiwa, nikaona ngoja ni mjuze mwanzangu huyu

Sasa basi nikamweleza bwana neema imenitembelea, ila nilikuwa naomba unitaftie sehemu nipate ela kwa riba nafuu ili nijiandae kwa ajili ya kazi au ukikosa unaweza nikopesha kwa riba hata wew(NB: yeye ni mtabibu wa ngazi shahada katika hospital kubwa hapa TZ)

Nilichojibiwa kiukweli sikuwahi kutegemea wala kudhani kuwa ndo yeye ananijibu hivi??

Alinijibu "yeye pesa zake hazikopeshwagi" na akaendelea kusema inabidi ujiandae kabla hujafanya jambo

Niliumia ila nilijikaza, nikajisemea ila hii kazi kwani nilitarajia kupataaa? Mpaka nijiandae...daaah nikapiga moyo na nikavunjika moyo saaana..... nikajisemea huwenda hafurahishwi na Mimi kupiga hatua au tayari akufukuzae hakwambii tokaa???

Inshort sikutegemea yaliyotokea, from that day nilimtoa kichwan na moyoni.....

NB: wakati yeye anaomba kazi nilikuwa nae bega kwa bega mpaka siku anareport anaanza kazi

Haipendezi kabisa alikosea mno
Majukumu nikusaidiana haswa mwenzio anapohitaji msaada wako
 
Back
Top Bottom