Usivuke Mipaka dogo unaweza kudhibitsha unachokisema? Unajua tayar upo kwenye mashtaka ya kupanga tukio la kijasusi watch out maneno hayo naweza kukubadilikia dk mbili hz unadhan upo rum mwenyewe...
acha mkwara uchwara wewe unamjua machumu ulishalala nyambizi boys au unanibipu msalimie gadafi kama uko kwenye chombo mkuda wwOk sawa utakuwa mfano watakuja kukutangaza humu humu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
acha mkwara uchwara wewe unamjua machumu ulishalala nyambizi boys au unanibipu msalimie gadafi kama uko kwenye chombo mkuda ww
huna jeuri wwOk sawa utakuwa mfano watakuja kukutangaza humu humu
Umesoma MAELEZO vizuri lakini KIJANA mwenzangu..!?Pesa ya fld cc sua tayaari
acha uongo mkuu, mi Niko udsm ad sasa hatujapewa hela.Home of VIPANGA wameshaingiziwa pesa tayari...
So kuweni na SUBIRA vijana...
Muda si mrefu na nyie wa vyuo vilivyosalia mambo yatakua MAZURI..!
Unasoma kozi gani mkuu..!?acha uongo mkuu, mi Niko udsm ad sasa hatujapewa hela.