Hela ya field itatoka lini?

Hela ya field itatoka lini?

Hivi hizi hela za field zitatoka lini ? Mwanzoni tuliahidiwa kuwa jumanne ya wiki hii zitatoka ila hazikutoka na siku za field ndio hivyo zinazidi kupita.Serikali ilitangaza kusogezwa mbele field mpaka 8/8/2016 ila hiyo tarehe ishapita na bado hakijaeleweka.

Wakuu mwenye updates za hela hizi za field atujulishe hapa.
Subirini mpaka uhamisho wa kwenda dodoma ukamilike, serikali iko bize saivi shida yenu si unga na mboga..! agizeni majumbani kwenu.
 
Back
Top Bottom