Hela ya field itatoka lini?

Hela ya field itatoka lini?

cf94a05a415e32c9754933c998b400de.jpg
 
Sikilizen kwa makini wadogo zangu

1.Nimesikia sikia eti mnampango wa kugoma,kunatofauti kubwa sana kati ya makubaliano yenu wanafunzi na loan board msijarbu huo mchezo ni hatar sana mta disco maana kukosa hela ya field alafu ukagoma kufka ni kwenda kinyume na agreement yko na chuo chako.

2.Mama Ndichako sio kwamba hajui hamjapewa pesa ila kuna uhakiki unaendelea inabd muwe wavumilivu wadogo zangu swala lenu linafanyiwa kazi na hyo ni haki yenu lazma mpewe

3.Wakati mnasoma advance kuna mtu aliwapa hela ya field au mlikuwa mnaendaje shulen njia zile zile jarbun kuzitumia ziwaboost hizi cku mbili tatu kuliko kuharbu elimu ambayo ishakuwa ngumu ktk nchi hii

4.Cha kushangaza kabsa mkipewa hela sasa vituo vya field hamfk mnaishia kulewa na kufanya inshu za ajabu (sio wote lakn).Hili ni somo lazma mjifunze kufanya bajet na mkumbuke kuna kupigika na kukosa kitu
Umetumwa eeh
 
Ndio kuwakomboa wadogo zangu msije potea kwa hela za field tu
Hivi hujui kuna watu wanafanyia field mbali na nyumbani na pia familia zao hazina kipato cha kuwagharamia kila siku kirahisi.
 
Kuweni ki akili ndugu zangu sawa
Tatzo lenu nyumbani Tandahima we unataka uende Dar,na baadh yenu field hta kwenu zipo bhasi tu ukauze sura mjini na ww ukapajue Dar sasa ndio hpo mateso yanaanzia,alafu unataka kuniambia umesomaje shule leo hii miez miwili ndio ikushinde sasa kwa taarfa yko kuna watu wamemaliza chuo na hawana kaz na Maisha yanaenda we zoea tu huo mkopo,Think beyond the box dogo acha kutegemea sana utaumia,ok sasa serkar haina hela andamana sasa au goma tuone nani ataumia hebu tutumie busara katika kutatua matatzo yetu
 
We unadhani field ni ualimu tu? Hivi watu wa geology ataenda tandahimba kufanya nini? Tulia utafakari halafu ndio uandike mkuu
 
By the way me sio muhusika, huko nilishatoka huko zamani kidogo.
 
Una ona sasa akl za usiku hzo
Hela ipo itakuja sasa kama we unaona huwez kusubr rud nyumbani sasa ukapumzike serkal sio wajinga wanayajua yote hayo
 
By the way me sio muhusika, huko nilishatoka huko zamani kidogo.
Vzur ila washaur vzur wadogo zetu hawa
Maana hakuna namna ingekuwa inawezekana serkal ingekuwa imelishughulikia hili tatzo lakn no way out lazma wasubr...hakuna mtu anaependa kuona Mwezie anateseka HAYUPO
 
siyo jkt mpaka nimepita kwa matanga mbushi siwezi kuwa mtumwa wa chama cha ccm dawa yenu inakuja mnatupelekesha mnafikili ukomo haupo soon nchi hii itapata ukombozi by couptant
Nanga wa kwata wewe kweli mwanafunzi? mbona kauli zako hazionyeshi kama mtanzania wa kesho
 
kauli zake zinaonyesha nanga wa kwata ni mtanzania wa leo na sio mwanafunzi.... yule jamaa wa ccm kasanda!!!!!!!
 
Usivuke Mipaka dogo unaweza kudhibitsha unachokisema? Unajua tayar upo kwenye mashtaka ya kupanga tukio la kijasusi watch out maneno hayo naweza kukubadilikia dk mbili hz unadhan upo rum mwenyewe...
Hahaaaaah JF kuna vituko.eti jamaa nae anachimba mkwara.hahaaaaaah mecheka sana leo
 
Back
Top Bottom