Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Wewe una lako jambo,mada za wanawake hazikukauki...vipi umeingizwa mjini nini
Katoswa na binti wa kihaya..hii ni payback. .
Wewe una lako jambo,mada za wanawake hazikukauki...vipi umeingizwa mjini nini
watani hao, achana nao.Too much generalization; halafu umewaandama wahaya Sana mkuu