blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,165
- 5,710
Gudume katoa uzi jana eti kaoa lakini bado haishi kukandia watu humu ndani. Yawezekana ndo yeye kaachika jana.



Kwaiyo kaja kupooza machungu yake hapaSent using Jamii Forums mobile app
Gudume katoa uzi jana eti kaoa lakini bado haishi kukandia watu humu ndani. Yawezekana ndo yeye kaachika jana.



Kwaiyo kaja kupooza machungu yake hapaNlkua mpnz mtizamaji nw nimeingia jumla jumlaMkuu kumbe ww sio mgeni au ww ndo yule Gudume alikuwa anamuongelea Jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unateseka mkuu?Mkuu y so serious na gudume au anakukula na wewe

Kabla hujajibu nenda kwenye ID ya mtu angalia umri siyo uongee hovyo ndo maana nimekuuliza shule hazijafunguliwa? Ungeingia chit chat hakuna ambaye angekuuliza haya ila umekuja straight kwenye Great Thinkers.Uyo gudume anakukula wewe mbona mna shoboka ivooo
We mzee unikome naona unawashwa sana ili ni jukwaa LA utambulisho....mind ur fucken business ...kama we ni mtu mzma na mm ni mtu mzima mwwnzio na wewe nenda kwenye id yangu uone nna umri gan ...mxeeeeewKabla hujajibu nenda kwenye ID ya mtu angalia umri siyo uongee hovyo ndo maana nimekuuliza shule hazijafunguliwa? Ungeingia chit chat hakuna ambaye angekuuliza haya ila umekuja straight kwenye Great Thinkers.


Umri sio Maarifa

We mzee unikome naona unawashwa sana ili ni jukwaa LA utambulisho....mind ur fucken business ...kama we ni mtu mzma na mm ni mtu mzima mwwnzio na wewe nenda kwenye id yangu uone nna umri gan ...mxeeeeew