Heche ndio msaliti wa chadema

Heche ndio msaliti wa chadema

Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.

Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Basi na we nikupe suri!Mzee wa Gombe ndiye msaliti hapo kwenu,😁
 
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.

Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Angekuwa msaliti angekipeleka chama kwenye uchaguzi
 
Wanachadema ni kama mbuzi wenye kamba shingoni,wanaburuzwa bila kujua game zilizopo na hali halisi,kwani wao ni njia katika kuletea viongozi wao ustawi safi wa kimaisha,hakuna cha mpigania haki wala nani,wote ni maswala ya ugali tu chadema,""That's proven facts"""
--TWENDENI TU LABDA HUKO MBELE MTASHTUKA/ KUNA WENZENU KWA MATUMAINI HAYO HAYO MPAKA WAKAZEEKA KWA KUZUNGUSHA MIKONO!...
 
Yan ungekuwa karibu yangu ningekutaka bonge la kibaooo ... hivi wewe unamjua vizuri Heche wewe ??? Mtaangaika naye sana ila hamuwezi kumkatisha tamaa
 
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.

Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Ugonjwa wa akili unakusumbua
 
Acha ungese Brenda katuma rambirambi kwa niaba ya Heche na chama.
 
Ma-snitch kibao CHADEMA , wakumuamini pale ni Lissu tu kwa sababu ni upinzani kwake ni maisha yake wengine inategemea…
 
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.

Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na hali ya kawaida.
Kwamba Lissu unafikiri anaongea serious hizo ni kejeli ndio maana hata heche analijua Hilo hivyo hakuna kuungana na wafiraji pumbavu zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom