Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,975
- 27,908
Ni lazima ajionyeshe yupo serious tena mkali kweli kweli,dhidi ya chama lake,asipofanya hivyo hamtajaa kwenye mtego!,naye akale wapi? Wakati punda zipo!Yan ungekuwa karibu yangu ningekutaka bonge la kibaooo ... hivi wewe unamjua vizuri Heche wewe ??? Mtaangaika naye sana ila hamuwezi kumkatisha tamaa