Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Hao mambwa wamshukuru huyu mama, ingekuwa mwanaume hao wasingeongea hayo maneno, akatafute mabadiliko nyumbani kwake. Natamani wanaume km M7 na Kagame sipendi wapumbavu wasiotii mamlaka. Ht hivyo hayo mabadiliko labda watayapata kaburini. Km ni mabadiliko ya maendeleo Rais wetu ameyafanya mengi sana. Hao vibaraka wavuta bangi wateketezweWakuu,
Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦♀️🤦♀️🤦♀️
=====
Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:
Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.
Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.
Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.
Asanteni Watanzania.
Pia soma: