H0ja za kit0t0....Walikuwepo akina Bokasa idd Amin dada na wenzao leo wapo wapi?
Hakika....Ilitakiwa awe amevunjwa mguu wa kulia na mkono wa kushoto
Mama wa kamboNa Bado Hadi mtubu Kwa mama
Hatuwezi kutubu kwa zero form 4 failure!.Na Bado Hadi mtubu Kwa mama
Hata Mb0we...ila ni mwenyekiti mstaafu na tajiri..... endelea kukariri ujinga tu....ha ha ha haHatuwezi kutubu kwa zero form 4 failure!.
Muulize MuseveniWalikuwepo akina Bokasa idd Amin dada na wenzao leo wapo wapi?
Kumuua Heche hakutakusaidia chochote, Tunafahamu uhusiano wako na wauaji, lakini baada ya Jiwe kuua watu yuko wapi leo?Nakuambia tena
Miezi michache utajua why nakupa tahadhari kila wakati.
Usijiamin sana
Baada ya hapo umasikini wa ukoo wako utaisha?Ilitakiwa awe amevunjwa mguu wa kulia na mkono wa kushoto
Wanafahamu wakitoa HAKI nchi nzima itakuwa hivi. Mama yao hauziki, sasa watafanyaje zaidi ya watawala kutetea maslahi yao kupitia Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na Usalama..Sawa! Hata kambi ile na wao muda wa kudanganywa umeisha!
View attachment 3314602
Haya maneno ndiyo yanayo watia kiwewe Samia na genge lake. Ni maneno ambayo yanachoma ndani ya mioyo ya waovu wote nchi hii. Ni maneno yanayotia moyo sana kwa waTanzania wote wenye mapenzi na nchi yao.Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.
Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Sidhani kuwa ni Heche ndiye "atafundishwa kuwa na adabu". Kuna uwezekano mkubwa sasa kuwa hao unaodhani wanawafundisha wengine, wao ndio watakuwa kwenye nafasi hiyo. Usiwe kipofu wa macho na akili, huo ni ulemavu mbaya zaidi.Mwaka huu Heche atafundishwa kuwa na adabu😁
Ni wapi huku?Sawa! Hata kambi ile na wao muda wa kudanganywa umeisha!
View attachment 3314602
Na yeye Samia wala asisikie au kuona chochote na kukitolea kauli.Ukifuatilia hapo utakuta haya matukio ya kukamata kamata watu wala hata hayajaratibiwa na Samia mwenyewe, ni hao hao mafisadi/machawa ambao wanapenda Samia aendelee kubaki madarakani na asibugudhiwe kwa namna yoyote ile hili wao waendelee kufaidi mema ya nchi.
Hii ilikua wapi?? Na mbona wote ni vijana wa UVCCM!!Sawa! Hata kambi ile na wao muda wa kudanganywa umeisha!
View attachment 3314602
Kumeanza kupambazuka na hukuSawa! Hata kambi ile na wao muda wa kudanganywa umeisha!
View attachment 3314602
Polis unakamata watu na kwenda kuwatupa maporini, huyu aliyetoa hii amri ilipaswa awajibishwe kabisaWakuu,
Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦♀️🤦♀️🤦♀️
=====
Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:
Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.
Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.
Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.
Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.
Asanteni Watanzania.
Pia soma:
Lingekua dhaifu usingeishia keyboarding republic wewe dadaHakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania
Upuuzi mtupuNa Bado Hadi mtubu Kwa mama