PreGE2025 Heche na wasaidizi wake waachiwa na polisi

PreGE2025 Heche na wasaidizi wake waachiwa na polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzanzibar must GO.
Watanganyika tunadhalilishwa huku na mzanzibar hili litaleta machafuko muda SI mrefu.
Tatizo sio mzanzibar bali tatizo ni watanganyika wenyewe wamekubali na kumpa mwanya mzanzibari huyo haipeleke hii nchi kihuni kwa malipo ya wao kuruhusiwa kufanya ufisadi kadri wanavyojiskia bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Ukifuatilia hapo utakuta haya matukio ya kukamata kamata watu wala hata hayajaratibiwa na Samia mwenyewe, ni hao hao mafisadi/machawa ambao wanapenda Samia aendelee kubaki madarakani na asibugudhiwe kwa namna yoyote ile hili wao waendelee kufaidi mema ya nchi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Yupo wapi magu, mabutu, Chiluba, Elibashiri wa Sudan, idd Amin Dada, Sadam Hussein, Bokasa na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho?
 
.
Yupo wapi magu, mabutu, Chiluba, Elibashiri wa Sudan, idd Amin Dada, Sadam Hussein, Bokasa na wenzao? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho?
... wako.... familia zao ziko....

Acha ujinga hata manabii wameshakufa.....
 
Back
Top Bottom