Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani

Hivi mlitaka Heche aseme nini? Unaweza kuta hata hajamuuliza. Heche anamuheshimu sana Mbowe ndio maana alimfuata nyumbani kwake kuongea nae. Kwa sababu hiyo hiyo Heche hawezi kumsemea Mbowe kama hajatumwa. Ni jibu la kiungwana na mtu anayetaka kujua sababu amuulize Mbowe.

Amandla...
😂

Nilijua tu huwezi Kukosekana kwenye hii mada……
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.

Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.

“Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.
Kwa akili ya kawaida, Mbowe aliyekuwa mwenyekiti ambaye aliifikisha CHADEMA hapo kilipo, akashushiwa heshima kwa kejeli na bado zinaendelea, lazima akae na wanachama kwa akili.
Vita ya kutumia maneno ni ngumu sana kwa watu wenye akili na busara.
 
Huenda anahusika kuhujumu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.

Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.

“Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.
 
Kwa mara ya kwanza Heche kajibu kwa akili. Namuunga mkono kwenye jibu lake. Kama mhusika yupo ajibu mwenyewe. Ila binafsi sioni sababu ya Mbowe kwenda mahakamani kusapoti upuuzi wa Lissu na Heche.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.

Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.

“Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.
Kitendo cha Mbowe kutokwenda Mahakamani kinavunja kifungu kipi cha Katiba ya Chadema?
 
Back
Top Bottom