HECHE JITOKEZE MWENYEWE KUKABILIANA NA GODBLESS LEMA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,235
Reaction score
932
Na Nulphin Charles, Katibu BAVICHA Serengeti

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Sikuwahi kutegemea kuwa ipo siku Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ataamua kumtumia mwanaharakati kama Mange Kimambi kumshambulia mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Kamanda Godbless Lema. Sina budi kukubaliana na ukweli huu mchungu.

Tuhuma zinazotolewa na Makamu Heche dhidi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama zilitakiwa kuwasilishwa katika vikao vya chama ambapo Makamu yeye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili. Lakini kwa hofu na uthibitisho kuwa si tuhuma za kweli, ameamua kumtumia Mange Kimambi.

Heche anadai Lema ni msaliti lakini anasahau ni Lema aliyempambania kukaa katika nafasi hii aliyonayo.
Heche anafanya haya kwa kuwa anajua Lema akichafuliwa atakosa ushawishi ndani ya chama, hivyo wito wake wa kutaka chama kichukue hatua za kumnusuru Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu dhidi ya adhabu ya gereza anayoendelea kuipata utakoma. Kwa msiojua, Heche ananufaika na kitendo cha Tundu Lissu kukaa gerezani.

Kuna mtu anahoji, kivipi? Ok. Kwa mnaokumbuka, Kikao cha Kamati Kuu kilichokaa Kigoma kilitoa hoja za matumizi ya fedha za chama bila kufuata utaratibu, ambapo Heche alitakiwa kujibu tuhuma mbalimbali za kujiamulia mambo na kujinufaisha yeye mwenyewe. Je, mnajua aliishia kujiumauma? Heche anajua fedha zipi zinaingia na azitumie vipi, hakuna wa kumuhoji.

Utawala huu wa Heche ndio unamuwezesha kupeleka familia mapumzikoni Dubai, kununua magari mapya na kuishi katika hoteli za kifahari. Wito wangu ni kumtaka Heche atoke mwenyewe kumkabili Lema na sio kumtumia Mange Kimambi. Siku Heche akitoka kukabiliana na Lema ndio siku mtajua uozo wote wa Heche. Lema amekaa pale na faili zito anasubiri; sisi wengine yetu macho.
 
Uwezo wako wa kufikiria una changamoto ya akili
 
View attachment 3704370
Una umeme mdogo sanaaaaaa KICHWANI (ubongoni mwako umeme umekata)

Screenshot_20261016-160646.png
 
Akili ndogo sana! Watanzania wa sasa sio mazuzu;
 
Heche sio saizi yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom