Godbless Lema anazungumza na Wanahabari muda huu

Kweli vyama vingi vimepoteza nguvu kabisa hile rule ya ikitaka utawala fanya uwaganye kwanza wapinzani inafanya kazi sana, ona sasa hivi chadema ilivyo sambaratishwa mwenyekiti yupo akipambania kutoka kwenye kesi isiyo na kichwa wala miguu hawa wa njee nao ni kama wamekata tamaa🐭
 
Wakuu

Habari ndio hiyo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Godbless Lema, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari mchana wa leo.

Mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya Kibo Palace kuanzia saa 8:00 mchana.

View attachment 3702606
Aondoke tu kishakuwa kichomi ndani ya chama
 
Nikajua atakuwa amepisha kwanza msiba, anataka kuongea kitu gani cha maana hivyo kisichoweza kusubiri?

Lema anakosea, hata kama kuongea na waandishi ni haki yake, lakini sio kwa wakati huu na haya chama chake kinayopitia.

Namuona amekosa hekima ambayo yeye hupenda kuihubiri kama kweli ataendelea na huu mkutano wake na wanahabari.

Binafsi nikajua muda huu atakuwa msibani Arusha ambapo pia ndipo yalipo makazi yake.
 
Mbona alikuwa msibani jamani.
Acha tumsikilize jambo lake.
 
Nikajua atakuwa amepisha kwanza msiba, anataka kuongea kitu gani cha maana hivyo kisichoweza kusubiri?

Lema anakosea, hata kama kuongea na waandishi ni haki yake, lakini sio kwa wakati huu na haya chama chake kinayopitia.

Namuona amekosa hekima ambayo yeye hupenda kuihubiri kama kweli ataendelea na huu mkutano wake na wanahabari.

Binafsi nikajua muda huu atakuwa msibani Arusha ambapo pia ndipo yalipo makazi yake.
Lema ni wa kuupuuzwa kama mbowe
 
GODBLESS LEMA ni mwanasiasa mzuri aliyefot katika chama cha CHADEMA ila kama ataamua kuondoka atakuwa na mwisho mbaya sana ,na hapo ni maslahi ndiyo yanamkimbiza
 
Sijawahi kuona au kusikia mwanasiasa wa kichagga asiye capitalize siasa kwa manufaa yake binafsi! Tangu Nsilo Swai, mpaka Mramba, tangu Mramba. mpaka Mrema tangu Mbowe mpaka Komu tangu Selasini mpaka huyu Lema! Siasa kwo ni biashara! Waaamini at. your own risk!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom