Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,332
Reaction score
4,177
Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu na watu wakubwa walioko serikalini ndiyo ilipewa tenda na Shiika la Nishati TPDC kuagiza mafuta na yenyewe ndiyo inasimamia kuweka bei za Mafuta

Ccm imejaa wehu tupu
 
kwani wewe heche,
ulipotumia pension yako yote ubunge kubeti ulikua unalenga kumiliki nini hasa?

ona sasa umefilisika pesa na sasa umefilisika mawazo na kuanza kumbwelambwela na uzushi uliochanganika na porojo nonsense kabisa
 
Nyie si huwa mnatumia chaji za mama. Haya mafuta hayawahusu
Gentleman,
mafuta na nishati nyingine hitajika nchini yataagizwa na kuingizwa nchini kwa mujibu wa sheria na bila kujali porojo na uzushi nonsense kama huo wa heche alichanganyikiwa baada ya kufilisika pensioni yake yote ya ubunge kwenye kubeti
 
Haya mambo yapo miaka mingi, na kwa sababu watanganyika tumeamua kuendelea kuwatazama tu, ndio maana wanazidi kutuchezea kila kukicha.

Jamaa wamejimilikisha biashara ya mafuta, bado wao ndio wanafanya biashara za usafiri wa umma, so wanapandisha bei ya mafuta, then watatupandishia nauli za mabasi, hapo wanapata faida mara mbili toka kwetu.

Haya yanatokea hapa kwetu, wakati serikali za nchi nyingine zinafanya jitihada kutopandisha bei za mafuta ili wasiwaumize wananchi wao.

Hapa kwetu serikeli yetu inaungana na wahuni [ nao ni sehemu ya serikali] kuzidi kutukanyaga wananchi, anyway, ndio maana ile Okt. 29 walitufanyia kile walichotufanya, hawatujali kabisa.
 
Waliofanya kazi bandari ya Bagamoyo wana mengi sana moyoni kuhusu maboti ya bid bidhaa kutoka njia ya Zanzibar...ni hayo tu.

Bagamoyo port manager sijui anajiingizia more than 100milion per day kwa kazi chafu.

Piga iende...TISS pameoza zaidi ya mnavyodhani.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa. Zenji ikiwa ni sehemu y muungano mbona bei haijapanda km bara.?
Kazi ni kipimo cha utu
Bila kupingana na maelezo ya Heche na yako pia Zanzibar ina viwango vyao vya kodi tofauti na bara bandari yao haina ufisadi kama zetu
 
Back
Top Bottom