Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 770
- 2,408
Mara nyingi huwa tunasikia raha ya mapenzi inawafanya watu wanachizi na kufanya mambo ambayo watu wengine wanabaki wakishangaa. Mara huyu kahonga gari, mara huyu haelewani na familia kisa mwanamke.
Hivi ingekuwaje kama ule utamu ambao wanaume huwa tunaupata wakati wa ejaculation (utamu wa bao) kama ungekuwa unadumu kwa muda wa hata wa dakika 5 bila kukata?
Watu si wangetaja account number na password juu ya viuno?